Manabii na mitume : Tofauti kati ya masahihisho
→Viashio (Irhaasaat)
No edit summary |
|||
Mstari 77: | Mstari 77: | ||
=== Viashio (Irhaasaat) === | === Viashio (Irhaasaat) === | ||
:Makala asili: Irhaas (Viashiria)'' | :Makala asili: [[Irhaas]] (Viashiria)'' | ||
Matukio yaliyotokea kabla ya utume wa manabii na kwa lengo la kuwaandaa watu kwa ajili ya kukubali dai lao la baadaye (la utume), [129] katika istilahi za wanatheolojia hujulikana kwa jila la “Irhaasaat ارهاصات” (vithibitisho na viashirio). Kuokolewa kwa Nabii Musa (a.s) kutoka kwenye Mto Nile, kuzungumza kwa Nabii Isa (a.s) hali akiwa ni mtoto mchanga, kukauka kwa Ziwa la Sawe, kutetemeka kwa kasri la utawala wa Kisra, kuzimika kwa moto wa Faris (Iran) na matukio mengine ambayo yalitokea wakati wa kuzaliwa kwa bwana Mtume (s.a.w.w) yalikuwa ni miongoni mwa ishara za unabii. [131] | Matukio yaliyotokea kabla ya utume wa manabii na kwa lengo la kuwaandaa watu kwa ajili ya kukubali dai lao la baadaye (la utume), [129] katika istilahi za wanatheolojia hujulikana kwa jila la “Irhaasaat ارهاصات” (vithibitisho na viashirio). Kuokolewa kwa Nabii Musa (a.s) kutoka kwenye Mto Nile, kuzungumza kwa Nabii Isa (a.s) hali akiwa ni mtoto mchanga, kukauka kwa Ziwa la Sawe, kutetemeka kwa kasri la utawala wa Kisra, kuzimika kwa moto wa Faris (Iran) na matukio mengine ambayo yalitokea wakati wa kuzaliwa kwa bwana Mtume (s.a.w.w) yalikuwa ni miongoni mwa ishara za unabii. [131] |