Nenda kwa yaliyomo

Nabii Ibrahimu : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Nabii Ibrahimu''' (Kiarabu: '''''النبي إبراهيم (ع)'''''), ambaye pia anajulikana kwa jina la '''Ibrahimu Khalilu (إبراهيم الخليل)''': Ni nabii wa pili miongoni mwa manabii wa Ulu al-Azmi. Ibrahimu aliteuliwa kuwa nabii kati ya watu wa Mesopotamia (baina ya mto Euphrates Tigris), kwa ajili ya kumlingania mtawala wa wakati huo (Namrudh), pamoja na watu waliokuwa wakiishi eneo hilo kwenye imani ya Mungu mmoja. Ni watu wachache tu miongoni mwao walikubali mwaliko wake, hivyo alipokata tamaa katika kuwalingania watu hao alihama kwenda Palestina.
'''Nabii Ibrahimu''' (Kiarabu: '''''النبي إبراهيم (ع)'''''), ambaye pia anajulikana kwa jina la '''Ibrahimu Khalilu (إبراهيم الخليل)''': Ni [[nabii]] wa pili miongoni mwa [[manabii]] wa [[Ulu al-Azmi]]. Ibrahimu aliteuliwa kuwa nabii kati ya watu wa [[Mesopotamia]] (baina ya mto Euphrates Tigris), kwa ajili ya kumlingania mtawala wa wakati huo ([[Namrud]]), pamoja na watu waliokuwa wakiishi eneo hilo kwenye imani ya Mungu mmoja. Ni watu wachache tu miongoni mwao walikubali mwaliko wake, hivyo alipokata tamaa katika kuwalingania watu hao alihama kwenda [[Palestina]].


Kulingana na Qur’ani, watu wa Ibrahimu waliokuwa wakiabudu sanamu, walimtia mikononi  na kumtupa kwenye moto baada Ibrahimu kuangamiza masanamu yao, lakini kwa amri ya Mwenye Ezi Mungu, moto huo ukawa baridi na salama kwa Ibrahimu.
Kulingana na [[Qur'an Kareem|Qur’ani]], watu wa Ibrahimu waliokuwa wakiabudu sanamu, walimtia mikononi  na kumtupa kwenye moto baada Ibrahimu kuangamiza masanamu yao, lakini kwa amri ya Mwenye Ezi Mungu, moto huo ukawa baridi na salama kwa Ibrahimu.


Ismaili (Ishmaeli) na Ishaqa (Isaka) ni wana wawili na warithi wa nabii Ibrahimu. Ukoo wa Bani Israili, ambao ni asili ya manabii wengi, ikiwa ni pamoja na bibi Mariamu, mama wa Isa (Yesu), unatokana na kizazi cha Ibrahimu kupitia nabii Ishaq. Mtume wa Uislamu pia anatokana na ukoo wa Ibrahimu kupitia kwa Ismaili, mwana mwingine wa Ibrahimu.
[[Ismaili]] (Ishmaeli) na [[Ishaqa]] (Isaka) ni wana wawili na warithi wa nabii Ibrahimu. Ukoo wa [[Bani Israili]], ambao ni asili ya [[manabii]] wengi, ikiwa ni pamoja na [[bibi Mariamu]], mama wa [[Nabii Issa]] (Yesu), unatokana na kizazi cha Ibrahimu kupitia Nabii Ishaq. [[Mtume wa Uislamu]] pia anatokana na ukoo wa Ibrahimu kupitia kwa Ismaili, mwana mwingine wa Ibrahimu.


Qur’ani inahusisha ujenzi wa Kaaba na mwaliko wa kuwaita watu kwenye ibada ya Hajj kwa nabii Ibrahimu, na kumtambulisha kama ni Khalilullah (rafiki wa Mungu). Kulingana na Aya za Qura’ni, baada ya kutahiniwa na kujaribiwa kwa mitihani mbalimbali, ikiwa ni pamoja na amri ya kuchinja mwanawe (Ismaili), Ibrahimu alipata hadhi ya uimamu mbali na cheo chake cha mwanzo cha unabii.
[[Qur'an Kareem|Qur’ani]] inahusisha ujenzi wa [[Kaaba]] na mwaliko wa kuwaita watu kwenye [[ibada ya Hajj]] kwa Nabii Ibrahimu, na kumtambulisha kama ni [[Khalilullah]] (rafiki wa Mungu). Kulingana na Aya za Qura’ni, baada ya kutahiniwa na kujaribiwa kwa mitihani mbalimbali, ikiwa ni pamoja na amri ya kuchinja mwanawe (Ismaili), Ibrahimu alipata hadhi ya [[uimamu]] mbali na cheo chake cha mwanzo cha [[unabii]].


== Wasifu Wake ==
== Wasifu Wake ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits