Nenda kwa yaliyomo

Nafs Al-Ammara : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 5: Mstari 5:
Al-Nafs Al-Ammara (yenye kuamrisha) ni mkabala wa na [[Al-Nafs Al-Lawwamah]], (yenye kujilaumu) na [[Al-Nafs Al-Mut’mainnah]], (yenye utulivu na kutulia). Nafsi yenye kuamrisha maovu inajulikana kwamba ni daraja ya chini zaidi ya nafsi. Daraja ya juu ya hapo ni nafsi yenye kujilaumu (nafs lawwama), nayo ni nafsi ambayo inamfanya mwanadamu ajilaumu mwenyewe kutokana na makosa na dhambi zake alizofanya. Ama nafsi ya juu zaidi ya nafsi ya kujilaumu, ni nafsi yenye kutulia (nafs mut’mainnah) ambapo kwa kuwa na hali hiyo ya kinafsi mwanadamu anakuwa katika hali ya utulivu na yakini.

== Utambuzi wa maana ==
==Utambuzi wa maana ==

Al-Nafs Al-Ammara au nafsi yenye kuamrisha, inakusudiwa kuwa ni nafsi yenye kuamrisha sana mambo maovu; nayo ni hali ya kinafsi ambayo ndani yake mwanadamu hawezi kufuata wala kutumia [[akili]] (kwa njia sahihi), bali anakuwa ni mwenye kufuata na kuiendea dhambi na ufisadi katika maamuzi na matendo yake<ref>Mishbah Yazdi, Ayne Parvaz, 1399 S, uk. 27</ref>. Yaani ni mwenye kuifuata tu nafsi yake kwa kila inachoamrisha na kutaka. Istilahi inapatikana katika Aya isemayo:  

((''إِنَّ النَّفْسَ لَأَمَّارَ‌ةٌ بِالسُّوءِ''; ''Hakika nafsi ni yenye kuamrisha sana (mambo) mabaya'' ))<ref>Al-Majlisi, Bihar al-Anwar, 1403 H, juz. 67, uk. 37</ref>.
((''إِنَّ النَّفْسَ لَأَمَّارَ‌ةٌ بِالسُّوءِ ; ''Hakika nafsi ni yenye kuamrisha sana (mambo) mabaya''))<ref>Al-Majlisi, Bihar al-Anwar, 1403 H, juz. 67, uk. 37</ref>.
Hivyo basi kama tulivyoashiria istilahi hiyo imechukuliwa kutoka katika Aya hiyo tukufu.<ref>Surat Yusuf: aya 53</ref>. Nafs Ammara  inajulikana kuwa ndio yale matamanio na hawaa za nafsi.<ref>Al-Majlisi, Bihar al-Anwar, juz. 67, uk. 36; Mutahhari, Majmu'i-e Athar, 1389 S, juz. 23, uk. 592</ref>

Mstari 22: Mstari 21:
== Kupambana na al-nafs al-ammara ==
== Kupambana na al-nafs al-ammara ==

''Makala asili: [[Jihadi ya Nafsi]]''
:''Makala asili: [[Jihadi ya Nafsi]]''

Katika hadithi iliyopokelewa kutoka kwa [[Mtume (s.a.w.w)]] inabainisha kwamba:

Mstari 33: Mstari 32:
== Vyanzo ==
== Vyanzo ==
{{Vyanzo }}
{{Vyanzo }}
* Kulaini, Muhammad bin Yaqub. Al-Kafi. Peneliti dan editor Ali Akbar Ghaffari dan Muhammad Akhundi. Teheran: Dar al-Kutub al-Islamiyah, cet. IV, 1407 H.

* Al-Majlisi, Muhammad Baqir. Bihar al-Anwar li Durar Akhbar Aimmah al-Athhar. Beirut: Dar Ihya' al-Turats al-Arabi, vet. II, 1403 H.

Mstari 41: Mstari 39:
* Tabatabai, Sayyied Muhammad Hussein. Al-Mizan fi Tafsir al-Quran. Qom: Kantor Penerbit Islami, cet. V, 1417 H.

* Warram bin Ibn Piras, Mas'ud bin Isa. Majmu'atu Warram. Qom: Perputakaan Faqih, cet. I, 1410 H.

{{end}}
{{End}}
Automoderated users, confirmed, movedable
7,842

edits