Bendera
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Khawlah bint Mandhur bin Dhabban al-Fazari''' ni mke wa Imamu Hassan al-Mujtaba (as) na mama wa Hassan al-Muthanna. Alikuwa mke wa kwanza wa Muhammad bin Talha ambaye aliuawa katika vita vya Jamal na baada ya hapo akaolewa na Imamu Hassan Mujtaba (as). [1] Mama wa Khawlah alikuwa Malika bint Kharijah bin Sanan. [2] Kwa mujibu wa ripoti baada ya kuuawa Muhammad yaani mume wa kwanza wa Khawlah, Abdallah bin Zubair aliyekuwa shemeji yake (yaani mume wa da...'