Naqi (Lakabu)

Kutoka wikishia

Naqi(Kiarabu:النقي)Moja ya majina na lakabu maarufu zaidi za Imamu Ali al-Hadi (a.s), ambaye ni Imamu wa kumi wa Shia, ni lakabu ya Naqī. [1] Neno Naqī linamaanisha "aliye safi au aliye toharika". [2] Kwa mujibu wa maelezo ya Sheikh al-Saduq katika kitabu chake ’Ilalu al-Sharai'i', yeye (Imamu Ali al-Hadi (a.s),) aliitwa Naqī kwa sababu ya usafi na utakaso wa nafsi alionao ndani ya nafsi yake. [3] Katika hadithi nyingine, inasemekana kwamba; kwa sababu mama yake Imam Ali al-Hadi (a.s) alikuwa mjakazi aliyezaa hali akiwa ni mjakazi, hivyo basi yeye alipewa jina hili iwe ni ushahidi wa Umaasumu, utakasifu, kumtoharisha na kusafisha Imamu Ali al-Hadi (a.s), kutokana na dosari zote pamoja na nasaba yake.

Maudhui zinazo husiana

Vyanzo

Qummī, Shaykh ʿAbbās. Muntahā l-āmāl. Edited by Naṣir Bāqirī Bīdhindī. 1st edition. Qom: Intishārāt-i Dalīl, 1379 Sh.

  • Rūzbahān, Faḍl Allāh. Wsīlat al-khādim ilā al-makhdūm: dar sharḥ ṣalawāt chāhārdah maʿṣūm. Edited by Rasūl Jaʿfarīyān. Qom, 1375 Sh.
  • Ṣadūq, Muḥammad b. ʿAlī al-. ʿIlal al-sharāʾiʿ. Edited by Sayyid Muḥammad Ṣādiq Baḥr al-ʿUlūm. Najaf: Manshurāt al-Maktaba al-Ḥaydariyya, 1385 AH/1966.
  • Ṭurayḥī, Fakhr al-Dīn b. Muḥammad al-. Majmaʿ al-baḥrayn. [n.p]: Maktab al-Nashr al-Thiqāfat al-Islāmiya, 1408 AH.