Nenda kwa yaliyomo

Mwanzo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka wikishia
imported>E.amini
imported>E.amini
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
<strong>ImesakinishwaMediaWiki。</strong>
{| style="border-collapse: collapse; width:100%"
|colspan="2"|
{{Template:Mainpage/top}}
|-
    | style="width: 60%; vertical-align: top; padding-right: 16px" |
        {{MainPage/Box
            |title  = Artikel des Tages
            |id      = mf-fa
            |image  = Symbol_star_gold.svg
            |content = {{Featured Article}}
            |link =
        }}
        {{MainPage/Box
            | image  = Symbol_star6.svg
            | title  = Bild des Tages
            | id      = mf-fp
            | content = {{MainPage/FeaturedImage}}
        }}
        {{MainPage/Box
            | image  = Ahlulbayt.png
            | title  = Ahl al-Bait Webseiten
            | id      = mf-otd
            | content = <div style="margin-left:20px">[[file:TarhABNA.jpg|link=https://zh.abna24.com|70px|Ahl al-Bait (a.s) 阿布纳通讯社]] [https://zh.abna24.com/ 阿布纳通讯社]</div>
        }}
<!-- later        {{MainPage/Box2
            | image  = Nuvola apps date.png
            | title  = Was geschah am Tag
            | id      = mf-otd
            | content = {{MainPage/Was geschah am Tag}}
        }}
        {{MainPage/Box2
            | image  =
            | title  = Aktuelle Artikel
            | id      = mf-otd
            | content = <recent limit="10" minimum="1400" />
        }}-->


Tafadhali angalia[https://www.mediawiki.org/wiki/Special:MyLanguage/Help:Contents Mwongozo wa Mtumiaji] kwa habari juu ya kutumia programu kwenye wiki hii。
|}


== Kuanza==
__NOTOC__ __NOEDITSECTION__
* [https://www.mediawiki.org/wiki/Special:MyLanguage/Manual:Configuration_settings MediaWikiorodha ya mipangilio ya usanidi]
* [https://www.mediawiki.org/wiki/Special:MyLanguage/Manual:FAQ/zh-hans MediaWikitatizo la kawaida]
* [https://lists.wikimedia.org/postorius/lists/mediawiki-announce.lists.wikimedia.org/ MediaWikiOrodha ya barua pepe]
* [https://www.mediawiki.org/wiki/Special:MyLanguage/Localisation#Translation_resources Janibisha MediaWiki kwa lugha yako]
* [https://www.mediawiki.org/wiki/Special:MyLanguage/Manual:Combating_spam Jifunze jinsi ya kupambana na uharibifu kwenye wiki yako]

Pitio la 10:42, 20 Julai 2022

Karibu
Ensaiklopidia ya Maktaba Ahlul Bayt (a.s.), inayosimamiwa na Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt (a.s.)
Kuna makala 818 za Kiswahili
Artikel des Tages
Qassim Suleimani (1957-2020) aliyekuwa Kamanda wa kikosi cha Quds cha jeshi la walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) aliuawa shahidi alfajiri ya tarehe 3 Januari 2020 yeye na Abu Mahdi al Muhandis, Naibu Mkuu wa kikosi cha kujitolea cha wananchi cha Hashdu al-Shaabi pamoja na wanamuqawama wengine kadhaa, katika shambulio la anga lililofanywa na jeshi la Marekani karibu na uwanja wa ndege wa Baghdad.

Wakati wa vita vya Iraq dhidi ya Iran, (1980-1988) Qassim Suleimani alikuwa kamanda wa kikosi cha Tharallah batalioni ya 14 katika mji wa Kerman na alikuwa mmoja wa makamanda wa operesheni za Walfajir 8, Karbala 4 na Karbala 5. Mwaka 1998, Qassim Suleimani aliteuliwa na Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) ambacho kinaendesha shughuli zake nje ya mipaka ya Iran.

Qassim Suleimani alikuwa akiwasaidia Mujahidina wa Afghanistan katika vita dhidi ya Taliban, na baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Afghanistan, alichukua hatua kwa ajili ya kufanyika ukarabati huko. Katika vita vya siku 33 vya Lebanon na vita vya siku 22 huko Palestina, alisaidia Hizbullah na Hamas dhidi ya Israeli na kuupa mhimili wa muqawama na mapambano silaha za kisasa.

Soma zaidi...
Bild des Tages
Picha ya kaburi la Imamu Hussein(a.s)
Ahl al-Bait Webseiten