Nenda kwa yaliyomo

Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 58: Mstari 58:
== Uarifisho wa Maimamu ==
== Uarifisho wa Maimamu ==


Shia wa Imamiyya (Ithnaashariyya) wakitegemea misingi ya hoja za kiakili [31] na maandiko kama vile [[Hadithi maarufu ya Ghadir]] na [[Hadithi ya Manzila]], wanaamini kwamba Khalifa mwadilifu na asiye na kifani wa Mtume Muhammad (s.a.w.w), ni Ali bin Abi Talib (a.s). [32] Baada ya Imam Ali (a.s), wanao fuatia kwa mpangilio baada yake ni; Imam Hassan (a.s), Imamu Hussein (a.s), Imamu Sajjad (a.s.), Imam Baqir (a.s), Imamu Sadiq (a.s.), Imamu Musa Kadhim (a.s), Imamu Ridha (a.s), Imamu Jawad (a.s), Imamu Hadi (a.s), Imamu Hasan Askari (a.s.), na Imamu Mahdi (a.s). Hao ndio wanaosimamia Uimamu na uongozi wa jamii ya Kiislamu baada ya Mtume (s.aw.w.). [33]
Shia wa Imamiyya (Ithnaashariyya) wakitegemea misingi ya hoja za kiakili [31] na maandiko kama vile [[Hadithi maarufu ya Ghadir]] na [[Hadithi ya Manzila]], wanaamini kwamba Khalifa mwadilifu na asiye na kifani wa Mtume Muhammad (s.a.w.w), ni Ali bin Abi Talib (a.s). [32] Baada ya Imam Ali (a.s), wanao fuatia kwa mpangilio baada yake ni; Imam Hassan (a.s), Imamu Hussein (a.s), Imamu Sajjad (a.s.), Imam Baqir (a.s), Imamu Sadiq (a.s), Imamu Musa Kadhim (a.s), Imamu Ridha (a.s), Imamu Jawad (a.s), Imamu Hadi (a.s), Imamu Hasan Askari (a.s.), na Imamu Mahdi (a.s). Hao ndio wanaosimamia Uimamu na uongozi wa jamii ya Kiislamu baada ya Mtume (s.aw.w.). [33]


Maelezo ya Ufafanuzi
Maelezo ya Ufafanuzi
Automoderated users, confirmed, movedable
7,403

edits