Nenda kwa yaliyomo

Mwanzo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka wikishia
imported>E.amini
No edit summary
imported>Nazarzadeh
No edit summary
Mstari 10: Mstari 10:
             |content = {{Featured Article}}
             |content = {{Featured Article}}
             |link =
             |link =
        }}
        {{MainPage/Box
            | image  = Symbol_star6.svg
            | title  = Picha Iliyoangaziwa
            | id      = mf-fp
            | content = {{MainPage/FeaturedImage}}
         }}
         }}
         {{MainPage/Box
         {{MainPage/Box
Mstari 27: Mstari 21:
<div class="links" style="display: table-row">
<div class="links" style="display: table-row">
        
        
        }}
    | style="width: 40%; vertical-align: top;" |
        {{MainPage/Box
            | image  = Symbol_star6.svg
            | title  = Picha Iliyoangaziwa
            | id      = mf-fp
            | content = {{MainPage/FeaturedImage}}
         }}
         }}
<!-- later        {{MainPage/Box2
<!-- later        {{MainPage/Box2

Pitio la 10:21, 21 Julai 2022

Karibu
Ensaiklopidia ya Maktaba Ahlul Bayt (a.s.), inayosimamiwa na Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt (a.s.)
Kuna makala 818 za Kiswahili
Makala ya Siku
Qassim Suleimani (1957-2020) aliyekuwa Kamanda wa kikosi cha Quds cha jeshi la walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) aliuawa shahidi alfajiri ya tarehe 3 Januari 2020 yeye na Abu Mahdi al Muhandis, Naibu Mkuu wa kikosi cha kujitolea cha wananchi cha Hashdu al-Shaabi pamoja na wanamuqawama wengine kadhaa, katika shambulio la anga lililofanywa na jeshi la Marekani karibu na uwanja wa ndege wa Baghdad.

Wakati wa vita vya Iraq dhidi ya Iran, (1980-1988) Qassim Suleimani alikuwa kamanda wa kikosi cha Tharallah batalioni ya 14 katika mji wa Kerman na alikuwa mmoja wa makamanda wa operesheni za Walfajir 8, Karbala 4 na Karbala 5. Mwaka 1998, Qassim Suleimani aliteuliwa na Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) ambacho kinaendesha shughuli zake nje ya mipaka ya Iran.

Qassim Suleimani alikuwa akiwasaidia Mujahidina wa Afghanistan katika vita dhidi ya Taliban, na baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Afghanistan, alichukua hatua kwa ajili ya kufanyika ukarabati huko. Katika vita vya siku 33 vya Lebanon na vita vya siku 22 huko Palestina, alisaidia Hizbullah na Hamas dhidi ya Israeli na kuupa mhimili wa muqawama na mapambano silaha za kisasa.

Soma zaidi...
Tovuti Nyingine za Bunge la Dunia la Ahl al-Bayt
Picha Iliyoangaziwa
Picha ya kaburi la Imamu Hussein(a.s)