Mwanzo : Tofauti kati ya masahihisho
imported>E.amini No edit summary |
imported>E.amini No edit summary |
||
Mstari 16: | Mstari 16: | ||
| title = Tovuti Nyingine za Bunge la Dunia la Ahl al-Bayt | | title = Tovuti Nyingine za Bunge la Dunia la Ahl al-Bayt | ||
| id = mf-otd | | id = mf-otd | ||
| content = <div style="margin-left:20px">[[file:TarhABNA.jpg|link=https://sw.abna24.com|70px|Shirika la habari la Abna]] [https://sw.abna24.com/ | | content = <div style="margin-left:20px">[[file:TarhABNA.jpg|link=https://sw.abna24.com|70px|Shirika la habari la Abna]] [https://sw.abna24.com/ Shirika la habari la Abna]</div> | ||
}} | }} | ||
<!-- later {{MainPage/Box2 | <!-- later {{MainPage/Box2 |
Pitio la 14:11, 20 Julai 2022
Karibu
Wiki Shia Ensaiklopidia ya Maktaba Ahlul Bayt (a.s.), inayosimamiwa na Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt (a.s.)
Kuna makala 818 za Kiswahili | |
![]() Qassim Suleimani (1957-2020) aliyekuwa Kamanda wa kikosi cha Quds cha jeshi la walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) aliuawa shahidi alfajiri ya tarehe 3 Januari 2020 yeye na Abu Mahdi al Muhandis, Naibu Mkuu wa kikosi cha kujitolea cha wananchi cha Hashdu al-Shaabi pamoja na wanamuqawama wengine kadhaa, katika shambulio la anga lililofanywa na jeshi la Marekani karibu na uwanja wa ndege wa Baghdad.
Wakati wa vita vya Iraq dhidi ya Iran, (1980-1988) Qassim Suleimani alikuwa kamanda wa kikosi cha Tharallah batalioni ya 14 katika mji wa Kerman na alikuwa mmoja wa makamanda wa operesheni za Walfajir 8, Karbala 4 na Karbala 5. Mwaka 1998, Qassim Suleimani aliteuliwa na Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) ambacho kinaendesha shughuli zake nje ya mipaka ya Iran. Qassim Suleimani alikuwa akiwasaidia Mujahidina wa Afghanistan katika vita dhidi ya Taliban, na baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Afghanistan, alichukua hatua kwa ajili ya kufanyika ukarabati huko. Katika vita vya siku 33 vya Lebanon na vita vya siku 22 huko Palestina, alisaidia Hizbullah na Hamas dhidi ya Israeli na kuupa mhimili wa muqawama na mapambano silaha za kisasa. Soma zaidi...![]() |