Nenda kwa yaliyomo

Hasan bin Fazl Tabarsi

Kutoka wikishia

Hasan bin Fazl, (Kiarabu: الحسن بن الفضل الطبرسي) anayejulikana kwa lakabu la Abu Nasr, anatoka katika ukoo wa Tabarsi[1] ni mtoto wa Fazl bin Hasan Tabarsi (aliyefariki 548 AH), mwandishi wa kitabu cha Majma’a al-Bayan. Ali bin Hasan Tabarsi, mwandishi wa kitabu Mishkaat al-Anwar, ni mtoto wa Hasan bin Fazl [2]. Hakuna habari kuhusu maelezo ya maisha, na pia tarehe ya kuzaliwa na kifo cha Hasan bin Fazl Tabarsi. [3] Yeye alizingatiwa kuwa mmoja wa wanafunzi wa baba yake [4] na inasemekana kwamba baba yake aliandika maelezo juu ya Jama'im al-Jami kwa ombi lake. [5] Kuna mzozo kuhusu sababu ya kuhusisha neno Tabarsi na familia hii; Baadhi wamehusisha Tabarsi na Tabres (iliyorekebishwa Kiarabu Tafresh) [6] na wengine na Tabaristan[7].

Wanachuoni wa Hadithi za Shia

Hasan bin Fazl, lakabu la Abu Nasr, anatoka katika familia ya Tabarsi[1] na mtoto wa Fazl bin Hasan Tabarsi (aliyefariki 548 AH), mwandishi wa maelezo ya Majma’a al-Bayan. Ali bin Hasan Tabarsi, na mwandishi wa kitabu Mishkaat al-Anwar, ni mtoto wa Hasan bin Fazl [2].

Hakuna habari kuhusu maelezo ya maisha, na pia tarehe ya kuzaliwa na kifo cha Hasan bin Fazl Tabarsi. [3] Alijulikanwa kuwa ni mmoja wa wanafunzi wa baba yake [4] na inasemekana kwamba baba yake aliandika maelezo juu ya Jama'im al-Jami kwa ombi lake. [5] Kuna mzozo kuhusu sababu ya kuhusisha neno Tabarsi na familia hii; Baadhi wamehusisha Tabarsi na Tabres (iliyorekebishwa Kiarabu Tafresh) [6] na wengine na Tabaristan[7].

Vitabu alivyoandika

Kitabu maarufu zaidi cha Hasan bin Fazl ni kitabu Makarem al-Akhlaq, ambacho kinachukuliwa kuwa moja ya kazi muhimu zaidi za maadili kwa wafuasi wa madhehebu ya Kishia. [8] Pia, kitabu Jami’i al-Akhbar kimenasibishwa kwake. [9] Hata hivyo, Seyyed Mohsen Amin na Jafar Sobhani [10] Abu al-Qasim Gurji, katika utangulizi wa Jama'im Al-Jamii, amezungumza kuhusu kunasibishwa kwa kitabu Asrar al-Umamah kwake. Hassan bin Fazl bin Hassan Tabarsi alianza kuandika kitabu chengine kiitwacho «جامع لسائر الاقوال و حاو لمحاسن الافعال»"

baada ya watu kuvutiwa na kitabu chake mashuhuri – Makarimul-Ikhlaq- , lakini alikuwa bado hajakimaliza alipoaga dunia.[12] Tabarsi amesimulia baadhi ya hadithi kutoka kwa baba yake, na Mahzab al-Din Hossein bin Abul Farah amenukuu kutoka kwake Tabrasi 13]

Rejea

Vyanzo

  • Tabarsi, Jawami’i Al-Jaami’i, 1377, juz. 1, utangulizi wa garchi, uk. 2.
  • Sobhani, Encyclopedia of Tabaqat Fiqha, 1418 AH, Juz. 6, uk. 77; Hosseini Jalali, Fahars al-Turaath, 1422 AH, juz. 1, uk. 566.
  • Tabarsi, Jawami’i Al-Jaami’i, 1377, juzuu ya 1, utangulizi wa garchi, uk.9.
  • Tabarsi, Jawami’i Al-Jaami’i, 1377, juz. 1, utangulizi wa garchi, uk. 2.
  • Tabarsi, Jawami’i Al-Jaami’i, 1377, juzuu ya 1, uk.2.
  • Tabarsi, Jawami’i Al-Jaami’i, 1377, juz. 1, utangulizi wa garchi, uk. 2; Amin, Ayan al-Shia, 1406 AH, juzuu ya 3, uk.29.
  • Modares Tabrizi, Rayhanat Al-Adab, 1369, juzuu ya 4, uk.32-33.
  • Amin, A’yan al-Shia, 1406 AH, juz. 1, uk. 158.
  • Harru A’miliy, Amal Al Amal, 1385 AH, juzuu ya 2, uk.75.
  • Amin, A’ayan al-Shia, 1406 AH, juzuu ya 5, uk.225-226; Sobhani, Al-Tabaqaat al-Fiqaha Encyclopedia, 1418 AH, juzuu ya 6, uk.77.
  • Tabarsi, Jawami’i Al-Jaami’i, 1377, juzuu ya 1, utangulizi wa garchi, uk.9.
  • Tabarsi, Mishkat Al-Anwar, 1385 AH, uk.1.
  • Hurr Amiliy, Amal al-Amal, 1385 AH, juzuu ya 2, uk.93; Sobhani, Encyclopedia of Tabaqat Al-Fiqaha, 1418 AH, juzuu ya 6, uk.76.
  • Amin, Seyyed Mohsen, Ayan al-Shi'ah, Beirut, Dar Taqqin Lal-Mahabbat, 1406 AH.
  • Hurr Amiliy, Muhammad bin Hassan, Amal al-Amal, Baghdad, Shule ya al-Andalus, 1385 AH.
  • Hosseini Jalali, Seyyed Mohammad Hossein, Fahrs al-Trath, Qom, Dalil Ma Publications, 1422 AH.
  • Sobhani, Jafar, Al-Tabaqaat Al-Fiqaha Encyclopedia, Qom, Taasisi ya Imam Sadiq, 1418 AH.
  • Tabarsi, Fazl bin Hasan, Tafsir al- Jawami’i Al-Jaami’i, iliyohaririwa na Abul Qasem Gurji, Qom na Tehran, Kituo cha Usimamizi wa Seminari ya Qom na * * Machapisho ya Chuo Kikuu cha Tehran, 1377.
  • Modares Tabrizi, Mohammad Ali, Reihana El-Adab, Tehran, duka la vitabu la Khayyam, 1369
  • Tabarsi, Jawami’i Al-Jaami’i, 1377, juz. 1, utangulizi wa garchi, uk. 2.
  • Sobhani, Encyclopedia of Tabaqat Fiqha, 1418 AH, Juz. 6, uk. 77; Hosseini Jalali, Fahrs al-Tarath, 1422 AH, juz. 1, uk. 566.
  • Tabarsi, Jawami’i Al-Jaami’i, 1377, juzuu ya 1, utangulizi wa garchi, uk.9.
  • Tabarsi, Jawami’i Al-Jaami’i, 1377, juz. 1, utangulizi wa garchi uk. 2.
  • Tabarsi, Jawami’i Al-Jaami’i, 1377, juzuu ya 1, uk.2.
  • Tabarsi, Jawami’i Al-Jaami’i, 1377, juz. 1, utangulizi wa garchi, uk. 2; Amin, Ayan al-Shia, 1406 AH, juzuu ya 3, uk.29.
  • Modares Tabrizi, Rehana Al-Adab, 1369, juzuu ya 4, uk.32-33.
  • Amin, Ayan al-Shia, 1406 AH, juz. 1, uk. 158.
  • Har Amali, Amal Al Amal, 1385 AH, juzuu ya 2, uk.75.
  • Amin, Ayan al-Shia, 1406 AH, juzuu ya 5, uk.225-226; Sobhani, Al-Tabaqaat al-Fiqaha Encyclopedia, 1418 AH, juzuu ya 6, uk.77.
  • Tabarsi, Jawami’i Al-Jaami’i, 1377, juzuu ya 1, utangulizi wa garchi, uk.9.
  • Tabarsi, Mishkat Al-Anwar, 1385 AH, uk.1.
  • Har Ameli, Amal al-Amal, 1385 AH, juzuu ya 2, uk.93; Sobhani, Encyclopedia of Tabaqat Al-Fiqaha, 1418 AH, juzuu ya 6, uk.76.

Vyanzo

  • Amin, Seyyed Mohsen, Ayan al-Shi'ah, Beirut, Dar Taqqin Lal-Mahabbat, 1406 AH.
  • Hurr Amili, Muhammad bin Hassan, Amal al-Amal, Baghdad, Shule ya al-Andalus, 1385 AH.
  • Hosseini Jalali, Seyyed Mohammad Hossein, Fahrs al-Trath, Qom, Dalil Ma Publications, 1422 AH.
  • Sobhani, Jafar, Al-Tabaqaat Al-Fiqaha Encyclopedia, Qom, Taasisi ya Imam Sadiq, 1418 AH.
  • Tabarsi, Fazl bin Hasan, Tafsir al-, Jawami’i Al-Jaami’i, iliyohaririwa na Abul Qasem Gurji, Qom na Tehran, Kituo cha Usimamizi wa Seminari ya Qom na *Machapisho ya Chuo Kikuu cha Tehran, 1377.
  • Modares Tabrizi, Mohammad Ali, Reihana El-Adab, Tehran, duka la vitabu la Khayyam, 1369.