Nenda kwa yaliyomo

Badjal bin Sulaym al-Kalbi

Kutoka wikishia

Badjal bin Sulaym al-Kalbi (Kiarabu: بجدل بن سليم الكلبي) alikuwa mmoja wa maaskari wa jeshi la Omar bin Sa’d katika tukio la Karbala ambaye baada ya kuuawa shahidi Imamu Hussein (as) alikata kidole cha Imamu kwa tamaa ya kuchukua pete ya mtukufu huyo. Badjal alitiwa mbaroni katika harakati ya Mukhtar na akauawa kwa amri ya Mukhtar. [1]

Rejea

Vyanzo