Anonymous user
Mwanzo : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
imported>E.amini (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Eid al-Ghadir ni miongoni mwa sikukuu kubwa za MaShia. katika siku ya 18 ya Dhu al-Hijjah, mwaka wa kumi Hijiria Mtume Muhammad (saw) alimteua Imam Ali (a.s) kuwa khalifa baada yake. Tukio la Ghadir lilitokea katika Hija ya Mwisho ya Mtume katika eneo linaloitwa Ghadir Khum. Katika Vitabu vya MaShia, siku hii imetajwa kwa majina mbalimbali kama vile (عیدُاللهِ الاکبر) Sikukuu kubwa ya Mwenyezi Mungu, Eid ya ahlubaiti ya Mtume Muhammad (...') |
imported>E.amini No edit summary |
||
Mstari 15: | Mstari 15: | ||
Imepokewa katika vitabu vya Kisunni kwamba mwenye kufunga wiki ya 18 Dhu al-Hijjah, Mwenyezi Mungu atamwandikia malipo ya saumu ya miezi sita, na siku hii ni ndio siku ya Eid al-Ghadir .[6] | Imepokewa katika vitabu vya Kisunni kwamba mwenye kufunga wiki ya 18 Dhu al-Hijjah, Mwenyezi Mungu atamwandikia malipo ya saumu ya miezi sita, na siku hii ni ndio siku ya Eid al-Ghadir .[6] | ||
Mtume Muhammad (saw) amesema: | Mtume Muhammad (saw) amesema: | ||
“Siku ya Ghadir ni siku kuu bora zaidi kwa Ummah wangu na ni siku ambayo Mwenyezi Mungu aliniamrisha nimchague ndugu yangu Ali bin Abi Talib kuwa mshika bendera wa Ummah wangu ili aongoze ummah wa kislam baada yangu. Na katika siku hiyo Mwenyezi Mungu aliikamilisha Dini ya kislam, na kukamilisha baraka zake juu ya Ummah wangu, na akaufadhilisha Uislamu kuwa dini kwao.” [7] | |||
imepokelewa kutoka Kwa Imamu Sadiq (a.s) akisema: | imepokelewa kutoka Kwa Imamu Sadiq (a.s) akisema: | ||
“Siku ya Ghadir ni Eid kuu ya Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu hakumtuma mtume isipokuwa anaifanya Siku hiyo kuwa ni Eid na kutambua ukubwa wake, na jina la siku hii huko mbinguni ni siku ya ahadi na makubaliano duniani, siku ya Muungano thabiti baina ya watu wote.”[8] | |||
Katika riwaya nyingine, Imamu Sadiq (a.s) anaichukulia Eid ya Ghadir kama Eid kubwa na yenye heshima Zaidi ya Waislamu, ambayo inastahiki katika siku hiyo kushukuriwa kwa Mwenyezi Mungu na watu wafunge kwa kushukuru, kwani kufunga siku hii ni sawa na miaka sitini ya ibada. [9] | Katika riwaya nyingine, Imamu Sadiq (a.s) anaichukulia Eid ya Ghadir kama Eid kubwa na yenye heshima Zaidi ya Waislamu, ambayo inastahiki katika siku hiyo kushukuriwa kwa Mwenyezi Mungu na watu wafunge kwa kushukuru, kwani kufunga siku hii ni sawa na miaka sitini ya ibada. [9] | ||
Vilevile imepokelewa kutoka Kwa imamu Reza (a.s) akisema: | Vilevile imepokelewa kutoka Kwa imamu Reza (a.s) akisema: | ||
“Siku ya Ghadir ni mashuhuri zaidi miongoni mwa watu wa mbinguni kuliko watu walioko ardhini… Lau watu wangejua thamani ya siku hii, bila shaka, Malaika wangepeana nao mikono mara kumi kwa siku.”[10] | |||
Historia ya sikukuu ya Ghadir | Historia ya sikukuu ya Ghadir | ||
Mstari 33: | Mstari 33: | ||
Mashia pia huona usiku wa Ghadir kuwa ni usiku wenye fadhila kumbwa na hukesha usiku huo Kwa kufanya ibada mbalimbali.[21] | Mashia pia huona usiku wa Ghadir kuwa ni usiku wenye fadhila kumbwa na hukesha usiku huo Kwa kufanya ibada mbalimbali.[21] | ||
Dua za siku ya Ghadir | ==Dua za siku ya Ghadir == | ||
• kufunga | • kufunga | ||
• kuoga (kufanya ghusli) | • kuoga (kufanya ghusli) |