Kumbukumbu zote zilizo wazi
Hapa panaonyeshwa kumbukumbu zote za wikishia kwa pamoja. Unaweza kuona baadhi yao tu kwa kuchagua aina fulani ya kumbukumbu, jina la mtumiaji fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo), au jina la ukurasa fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo).
- 16:42, 7 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Sudair al-Sairafi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sudair al-Sairafi: (Msimulizi Mashuhuri wa Kishia)''': Sudair al-Sairafi anajulikana kama ni mmoja wa wasimulizi maarufu wa Hadithi wa Kishia na ni miongoni mwa masahaba wa karibu wa Imamu al-Baqir na Imamu al-Sadiq (a.s). Familia yake pia ilikuwa na mchango mkubwa katika nyanja ya usimulizi wa Hadithi, kwani baba na watoto wake walikuwa ni miongoni mwa wasimulizi mashuhuri wa Hadithi na ni miongoni mwa Mashia. Takriban kuna kiasi cha Hadithi tisini zin...') Tag: KihaririOneshi
- 16:40, 7 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Mdhaifu wa kifikra (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mdhaifu wa kifikra “Mustadh'af Fikriyyun / مُستَضعَف فکری"''': Ni yule mtu mwenye uwezo dhaufu wa kifikra ambaye hana uwezo wa kiakili wa kutambua au kutofautisha kati ya haki na batili au hakupata fursa na wala hakuwa na uwezo wa kufikiwa na ujumbe wa dini ya Kiislamu. Hata hivyo, '''“Mustadh'af Fikriyyun / مُستَضعَف فکری"''' anayekusudiwa katika ibara hii, ni yule mtu ambaye kama Uislamu ungelimfikia basi asingekewa na pi...') Tag: KihaririOneshi
- 16:39, 7 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Lakabu ya Ruhullahi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Lakabu ya Ruhullahi Kiarabu''' “'''''روح الله'''''” ( '''Roho ya Mungu'''): Katika mila za Kiislamu na Kishia ''"Roho ya Mungu"'' ('''''روح الله'''''), ni jina litumikalo kama lakabuni moja maalumu kuhusiana na Nabii Isa (a.s). Lakabu hii imetajwa wazi katika Hadithi mbali mbali, pia inapatikana katika vitabu kadhaa vinavyozungumzia ziara (sala na salamu) zisomwazo kwa ajili ya watukufu fulani. [1] Miongoni mwa ibara zilizobeba j...') Tag: KihaririOneshi
- 16:38, 7 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Kuvuka bahari kwa Wana wa Israeli (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kuvuka bahari kwa Wana wa Israeli''': Tukio la kuvuka bahari kwa Wana wa Israeli lilikuwa ni miongoni mwa matukio muhimu na ni muujiza wa kipekee uliowakomboa kutoka katika mateso yaliyokuwa yakiwasulubu walipokuwa nchini Misri. Tukio hili lilijumuisha kupasuka kwa bahari na kuruhusu Wana wa Israeli kuvuka salama, huku Firauna na majeshi yake wakizama katika maji bila ya kupata mwokozi. Kwa mujibu wa amri ya Mwenye Ezi Mungu, Nabii Musa (a.s) aliwaongo...') Tag: KihaririOneshi
- 16:37, 7 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Maisha ya amani ya pamoja (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Maisha ya amani ya pamoja''': ni dhana inayobeba umuhimu wa kuishi kwa maelewano na mshikamano miongoni mwa watu wa imani, itikadi, na tamaduni tofauti. Dhana hii katika Uislamu, inahisabiwa kuwa ni moja ya msingi bora ya jamii na ndio lengo la juu kabisa la maisha ya kijamii. Dini ya Kiislamu inahimiza kuheshimu haki za walio wachache kidini, pia inawataka Waislamu kushirikiana nao kwa misingi ya heshima na uadilifu. Mafundisho ya Kiislamu yanasisitiza...') Tag: KihaririOneshi
- 16:33, 7 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Ujirani mwema (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''ujirani mwema, unaojulikana kama''' "'''''حسن الجوار'''''": ni ndharia ilioko katika maandiko ya kiislamu, inayosisitiza tabia njema kwa majirani. aya ya 36 ya '''suratu an-nisa''', inatutaka tuwatendee wema majirani zetu. Pia tukirejea kwenye hadithi mbali mbali, tutakuta maelezo kadhaa yenye kusisitiza juu ya kuwatendea wema majirani na kutowafanyia ubaya majirani zetu. hadithi ambazo zinatutaka kuchunga heshima za jirani ni kama vile tuchu...') Tag: KihaririOneshi
- 16:31, 7 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Asma bin Khaarjah al-Fazari (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Asma bin Khaarjah al-Fazari''' (aliyefariki mwaka wa 82 Hijria) alikuwa kiongozi mashuhuri na aliyekuwa na ushawishi mkubwa wa kisiasa katika mji wa Kufa, hasa katika kipindi cha matukio yaliyopelekea maafa ya tukio la Karbala. Asma alishiriki katika vita vya Siffin akiwa katika jeshi la Imam Ali (a.s). Hata hivyo, baada ya vita hivyo, alihamia Kufa na kuwa karibu na watawala wa Bani Umayya, akihudumu mara kwa mara katika mji mkuu wa utawala wao. Asma p...') Tag: KihaririOneshi
- 16:31, 7 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Aqilah Banī Hāshim (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Aqilah Banī Hāshim''': Jina la '''Aqilah Banī Hāshim''', ni jina maalumu alilopewa Bibi Zainab (a.s.), ambaye ni binti wa Imam Ali (a.s). Kwa mujibu wa kamusi kuu ya Kiarabu iitwayo Lisān al-‘Arab, ni kwamba; Pale jina au neno "‘'''''Aqilah'''''," linapohusishwa na mmoja wa watu wa kabila au kundi fulani, huwa na maana ya '''mkuu wa kabila'''. [1] Baadhi ya wanazuoni, akiwemo Ayatollahi Jawadi Amuli, wamesema kuwa; pale jina hili linapotumika...') Tag: KihaririOneshi
- 16:30, 7 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Annasu Niamun Faidhaa Matuu Intabahuu (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Annasu Niamun Faidhaa Matuu Intabahuu / النَّاسُ نِیَامٌ فَإِذَا مَاتُوا انْتَبَهُوا "Watu wamelala, na watapokufa ndipo watakapoamka":''' Ni hadithi maarufu [1] inayosimuliwa kutoka kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) [2] pamoja na Imam Ali (a.s.), [3] ikiwa ni moja ya kauli zenye maana kubwa zinazogusa undani wa maisha ya mwanadamu. Hadithi hii inatoa ukumbusho juu ya hali hailisi ya uhakika wa wanadamu, ikieleza kwam...') Tag: KihaririOneshi
- 14:11, 20 Novemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Tawhidi Katika Ngazi ya Dhati (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Tawhidi Katika Ngazi ya Dhati:''' ni mojawapo ya aina za tawhidi, inayomaanisha iamni juu ya umoja asili, au uweke wa Mwenye Ezi Mungu katika ngazi ya Dhati yake. '''Tawhidi Katika Ngazi ya Dhati''' katika istilahi za wanazuoni wa fani ya theolojia, humaanisha kwamba; Mwenye Ezi Mungu hana mshirika wala anayefanana naye; lakini kwa mujibu wa wanazuoni wengine, pia inamaanisha kuwa Dhati ya Mungu haikujengeka kwa vipengele vya aina yoyote ile, wala haiwe...') Tag: KihaririOneshi
- 14:07, 20 Novemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Tawhidi katika ngazi ya Matendo (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Tawhidi katika ngazi ya Matendo''' (Kiarabu: '''توحید اَفعالی'''): Ni imani muhimu yenye maana ya kwamba; kila tukio litokealo ulimwenguni humu, yakiwemo matendo ya viumbe mbali mbali, hutekelezwa na kujiri kupitia idhini, nguvu pamoja na matakwa ya Mwenye Ezi Mungu mwenyewe. Dhana hii inaonesha kuwa Mwenye Ezi Mungu ni chanzo cha kila kitu. Wanazuoni wa Kiislamu wameshimamisha hoja mbali mbali katika kuthibitisha imani hii. Ili kutetea iman...') Tag: KihaririOneshi
- 14:05, 20 Novemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Hotuba ya Gharaa (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Hotuba ya Gharaa''' (Kiarabu/ خطبۀ غَرّاء): Ni moja ya hotuba maarufu ndani ya kitabu cha '''''Nahj al-Balagha'''.'' [1] Hotuba hii inajulikana kwa jina la Hotuba ya Gharaa (yaani hotuba yenye nuru na kung'aa) kutokana na ufasaha na wa hali ya juu uliotumika ndani yake. [2] Ibn Abi Al-Hadid anaiona hotuba hii kuwa ni moja ya karama za Imamu Ali (a.s). [3] Katika hotuba hii yenye maneno mepesi ndani yake, kumetumika mbinu kadhaa za kifasaha na...') Tag: KihaririOneshi
- 14:03, 20 Novemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Uzuri na Ubaya (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Uzuri na Ubaya “Kiarabu''': '''حُسن و قُبح'''”: Ni Suala linalohusiana na masuala ya elimu ya theolojia. Muqtadha wake hujadili kuwa je kiasilia, matendo kama matendo huwa yanasifika kwa sifa ya uzuri au ubaya, au uzuri na ubaya wake hutegemea amri za Mungu tu? Yani, chochote kile ambacho Mungu ameagiza huhisabiwa kuwa ni kizuri kutokana na hilo, na chochote alichokataza huhisabiwa kuwa ni kibaya kutokana na katazo hilo la MUngu. Wanazuoni...') Tag: KihaririOneshi
- 14:02, 20 Novemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Hukumu ya Jihadi au Fatwa ya Jihadi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Hukumu ya Jihadi au Fatwa ya Jihadi''': Ni amri ya kiongozi wa juu wa dini inayohusiana na kuanzisha vita vya Jihadii dhidi ya maadui. Kigezo cha kikuu cha hukumu hii kinakuwa ni kuilinda dini pamoja na jamii ya Kiislamu. Hukumu hii pia huainisha vigezo na masharti yanayotakiwa kutimizwa, ili kupata uhalali kamili wa vita hivyo. Kwa mtazamo wa Shia kuhusiana na muktadha huu, kule kutoa fatwa ya Jihadi katika kipindi cha '''''ghaiba''''' (kipindi cha kut...') Tag: KihaririOneshi
- 14:01, 20 Novemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Dhana ya mrengo wa Batiniyya (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Dhana ya mrengo wa Batiniyya''' ('''''Batini'''''): Ni dhana na itikadi inayodai kwamba; dini ina maana nyengine ya ndani zaidi, ambayo muqtadha wake unatofautiana na muqtadha wa maana yake dhhiri, ambayo ni muhimu zaidi kuliko ile maana yake ya dhahiri inayoeleweka na kila mtu. Wafuasi wa mrengo wa Batiniyya, hufasiri Aya za Qur’ani kwa njia ya ta’wil (maana mbadala), wakijaribu kufikia maana ya ndani iliyofichika ndani ya Aya hizo. Miongoni mwa ma...') Tag: KihaririOneshi
- 13:59, 20 Novemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Ammaar bin Hassaan Ta'i (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ammaar bin Hassaan Ta'i''': alikuwa ni miongoni mwa wafuasi waaminifu wa Imamu Hussein (a.s) na ni mmoja kati ya mashujaa waliouawa pamoja na Imamu Hussein (a.s) katika tukio la Karbala. Jina lake ni miongongoni mwa majina yalio orodheshwa katika matini maalumu yanayohusiana na namna ya kuwasalia na kuwatakia rehema mahashidi wa Kiislamu (Ziara Nahiye Muqaddasa). Kulingana na vyanzo vya kihistoria, Ammaar bin Hassaan alisafiri kutoka Makka akiwa pamoja...') Tag: KihaririOneshi
- 19:31, 22 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Aya ya 62 ya Suratu Al-Namli (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Aya ya 62 ya Suratu Al-Namli''': Ni imuelezaye Mwenye Ezi Mungu kuwa Yeye ndiye anayejibu maombi ya mwanadamu na kumwondolea dhiki zake, pale yeye anapokabiliwa na hali ngumu au dhiki maalumu. Pia, Aya hii inaashiria mamlaka na uongozi wa Mwenyezi Mungu uliotanda juu ya ardhi. Kulingana na mila na mazoea ya jamii za Kiislamu (hasa Mashia), Aya hii huwa inatambuliwa kwa jina la "Aya ya Amman Yujiibu". Jina hilo limezoeleka kutokana na sehemu ya mwanzo ya...') Tag: KihaririOneshi
- 19:28, 20 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Kitendo cha wizi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kitendo cha wizi''' katika welewa wa kidini na kijamii, kinatambuliwa kama ni kitendo cha kunyakua mali ya mtu mwingine kwa njia ya siri. [1] Wizi katika Uislamu umeharamishwa wazi kabisa, na kuorodheshwa miongoni mwa dhambi makubwa. [2] Athari za wizi zilizotajwa katika vyvanzo vya Hadithi ni pamoja na; kutoweka kwa amani ya kiuchumi katika jamii, kuzuka kwa mizozo, kuongezeka kwa mauaji, na kupungua kwa hamasa za kufanya biashara. [3] Wanazuoni wa sh...') Tag: KihaririOneshi
- 19:26, 20 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Tashbihi katika Qur’ani (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Tashbihi katika Qur’ani (matumizi ya lugha ya taswira) uliotumika katika Qur'ani, ni moja ya sanaa muhimu katika kufafanua na kuwasilisha dhana za Qur'ani, na ni moja ya sehemu za miujiza ya kiisimu (linguistics) ya kitabu hichi kitukufu. Kipengele hichi kimepewa umuhimu maalum katika Riwaya za Kishia, huku watu wakihimizwa kuzingatia na kutafakari juu ya maana na ukweli juu ya tashbihi zilizomo ndani ya Qur’ani. Kwa mujibu wa wafasiri wa Qur'ani, madh...') Tag: KihaririOneshi
- 19:24, 20 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Sayyid Hassan Nasrullahi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sayyid Hassan Nasrullahi''' (1339 H.Sha - 1403 H.Sh), ni mwanazuoni wa Kishia na mwanasiasa mashuhuri kutoka Lebanon, yeye ni Katibu Mkuu wa tatu wa Hizbullahi na ni mmoja wa waanzilishi wa kikundi hicho. Katika kipindi chake cha uongozi, klicho anzia mnamo mwaka 1992 hadi 2024 B.K., Hizbullahi iliimarika na kuwa miongoni mwa nguvu za ukanda wa mashariki ya kati. Moja ya mafanikio makubwa chini ya uongozi wake, ni; ukombozi wa kusini mwa Lebanon wa mwak...') Tag: KihaririOneshi
- 19:23, 20 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Lakabu ya Rahmatun lil’aalamina (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Lakabu ya '''Rahmatun lil’aalamina رَحمةٌ لِلعالَمین "Rahma kwa Walimwengu":''' Ni mojawapo ya majina ya Mtume Muhammad (s.a.w.w), likimaanisha kuwa yeye ni rehema kwa viumbe vyote ulimwenguni. Jina hili limetajwa katika Aya ya 107 ya Suratu al-Anbiyaa. Neno '''"rahma / رَحمةٌ"''' linalomsifu bwana Mtume (s.a.w.w), pia linapatinaka katika Aya nyingine za Qur'ani, miongoni mwa Aya zenye neno hili ndani yake ni pamoja na; Aya ya 128 y...') Tag: KihaririOneshi
- 19:22, 20 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Musahaqa (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Musahaqa /مُساحَقه''' ('''Kusagana'''): Ni tendo la kimwili ambapo mwanamke mmoja husugua sehemu zake za siri juu ya sehemu za mwanamke mwingine kwa lengo la kupata raha ya kimwili (za kujinsia). Kitendo hichi kimekosolewa vikali Katika mafundisho yaliyomo ndani ya Hadithi mbali mbali. Pia kumetolewa onyo kali la adhabu za Akhera kuhusiana na tendo hili. Hadithi hizo zinachukulia tendo la musahaqa kama ni aina ya uzinzi uliopindukia mipaka, pia...') Tag: KihaririOneshi
- 19:22, 20 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Liwati (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Liwati''' “Kwa maandishi ya Kiarabu'''لِواط''' ” (Kiswahili: '''Amali ya''' '''Ubaradhuli'''): Ni kitendo cha kujamiana kati ya wanaume wawili. Sheria za Kiislamu zimekiorodhesha kitendo hichi miongoni dhambi kubwa katika zinazoweza kutokea katika jamii mbli mbali. Pia Hadithi mbali mbali zimelihisabu tendo hili kuwa ni tendo hatari kupindukia amali nyengine za uzinzi. Mafaqihi wa Kiislamu wamekihukumu kitendo hichi kuwa ni kitendo haramu, huku...') Tag: KihaririOneshi
- 19:21, 20 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Kundi la Othmaniyya (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Kundi la '''''Othmaniyya''''': ni kundi linalo tambulikana kwa msimamo wake wa uhasama na upinzani mkali dhidi ya Imam Ali (a.s) na kizazi cha bwana Mtume (Ahlul-Bait) (a.s), hususan katika masuala ya kisiasa, kijeshi, na kielimu. Asili ya kundi hili inarejea kwenye matukio muhimu ya kihistoria, ikiwemo tukio la kukataa kutoa kiapo cha utiifu kwa Imam Ali (a.s) baada ya kuuawa kwa Othman bin, ambapo wafuasi wa Othmaniyya walimpendekeza Muawiyah ibn Abu Suf...') Tag: KihaririOneshi
- 19:21, 20 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Ghadiiriyya (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ghadiiriyya (Kiarabu: '''غدیریه'''): ni mashairi yanayozingatia tukio la '''''Ghadiir Khum'''''. Yasemekana kwamba; mashairi ya mwanzo kabisa kabisa kuhuisana na '''''Ghadir Khum''''' yalitungwa na '''''Hassan bin Thabit'''''. Kiuhalisia, mashairi ya '''''Ghadiiriyya''''' hayazungumzii tu tukio la Ghadiir na hadhi ya Imamu Ali (a.s.) katika kushika nafasi ya ukhalifa baada ya Mtume (s.a.w.w), bali pia yanachambua masuala mengine mbali mbali muhimu...') Tag: KihaririOneshi
- 19:20, 20 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Fouad Ali Shukr (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Fouad Ali Shukr (1961–2024)''', maarufu kwa jina la Haj Mohsin au Sayyid Mohsin Shukr, alikuwa ni mmoja wa makamanda wakuu wa kijeshi wa Hizbullah ya Lebanon na mshauri wa karibu wa Sayyid Hassan Nasrallah. '''Fouad''' alifariki dunia mnamo tarehe 30 Julai 2024 (sawa na tarehe 9 Murdad 1403, kwa kalenda ya Kiajemi), kifo chake kilijiri kufuatia shambulio la anga lililofanywa na vikosi vya Israel katika jengo lililoko eneo la Dahiya mjini Beirut. '''Fo...') Tag: KihaririOneshi
- 19:19, 20 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Ayyub bin Nuh bin Darraj al-Nakhai al-Kufi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ayyub bin Nuh bin Darraj al-Nakhai al-Kufi''' “'''اَیّوب بن نوح بن دَرّاج نَخَعی کوفی'''”: Ni faqihi na mwanahadithi wa upande wa madhehebu ya '''''Shia Ithnaasharia''''' wa karne ya tatu Hijiria. Yeye ni mpoze wa Hadithi aliyepokea Hadithi zake kutoka kwa Imamu Ali Ridha (a.s), Imamu Muhammad Taqi (a.s), Imamu Ali Naqi (a.s), na Imamu Hasan al-Askari (a.s). Ayyub alikuwa ni wakala wa Imamu Ali Naqi (a.s) na Imamu Hassan...') Tag: KihaririOneshi
- 18:36, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Kujifananisha na makafiri (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kujifananisha na makafiri''' / Kiarabu '''تَشَبُّه به کُفّار''': ni kitendo cha Waislamu kuiga desturi au mitindo ya maisha ya makafiri katika masuala ya kibinafsi au kijamii. Baadhi ya wanazuoni wa fiq’hi wameharamisha aina fulani za uigaji wa mitindo hiyo. Hata hivyo, kuiga makafiri katika masuala ya kielimu na viwanda hakuchukuliwi kuwa ni kujifananisha nao. Wengine wanaona kwamba hukumu ya kutojifananisha na makafiri imeegemea kwen...') Tag: KihaririOneshi
- 18:36, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Sunna ya Mwenye Ezi Mungu (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Sunna ya Mwenye Ezi Mungu au Sunna za Mwenye Ezi Mungu ni istilahi ya Qur'ani inayoashiria kanuni na sheria za Mwenye Ezi Mungu katika kuendesha mchakato mzima wa uumbaji na utawala wa ulimwengu. Kwa mujibu wa wanazuoni wa Kiislamu, Sunna hizi zinatambulika kwa sifa za ukamilifu, uthabiti, na zenye kufuata na kutiririka kwenye reli yenye nidhamu madhubuti. Qur'ani ianasisitiza kwamba; Sunna hizo ni thabiti za milele, na wala haziwezi kubadilishwa wala kuba...') Tag: KihaririOneshi
- 18:35, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Sala ya Ijumaa (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sala ya Ijumaa''': ni ibada sala maalum ya rakaa mbili inayoswaliwa wakati wa adhuhuri siku ya Ijumaa, badala ya sala ya kawaida ya Adhuhuri, na huendeshwa kwa jamaa (kuswaliwa kwa pamoja). Ili sala hii iweze kufanyika, lazima kuwe na idadi ya waumini wasiopungua watano, ambapo mmoja wao atachaguliwa kama ni Imamu wa Sala hiyo. Kabla ya kuanza sala hii, Imamu wa Ijumaa huwajibika kutoa hotuba mbili, ambazo zinabeba maudhui muhimu ya kuwasihi waumini kuw...') Tag: KihaririOneshi
- 18:35, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Said bin Abdullahi Hanafi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Said bin Abdullahi Hanafi, ambaye aliyeuawa shahidi manamo mwaka 61 Hijria, ni mmoja wa mashujaa wa tukio la Karbala. Alijulikana kwa uaminifu wake mkubwa na kujitolea kwake muhanga kwa ajili ya Imamu Hussein (a.s). Said ni mfuasi wa Ahlu Al-Bait (a.s) kutoka mji wa Kufa. Said ndiye aliye chukua jukumu muhimu la kuwasilisha barua za watu wa Kufa kwa Imamu Hussein (a.s), akionyesha imani yake thabiti juu ya nafasi ya uongozi wa Imamu (a.s). Pia, yeye ndiye...') Tag: KihaririOneshi
- 18:34, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Mazungumzo ya Imamu Reza (a.s) na Suleiman Marwazi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Mazungumzo ya Imamu Reza (a.s) na Suleiman Marwazi yanaeleza majadiliano ya kina na ya kitaalamu yaliyojiri kati ya Imamu Reza (a.s) na Suleiman Marwazi, mmoja wa wataalamu wa theolojia kutoka Khurasan. Mazungumzo haya yalihusu dhana ya '''''Badaa''''' (mabadiliko) na matakwa ya Mungu, yaliyo fanyika kwa misingi ya tafakuri na mantiki aminifu juu ya masuala hayo. Mazungumzo na majadiliano haya yaliandaliwa kwa amri ya Khalifa Al-Maamun wa ukoo wa Abbasiyya...') Tag: KihaririOneshi
- 18:34, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Mjadala kati ya Imamu Ridha na Ra’asu al-Jaaluut (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Mjadala kati ya Imamu Ridha na Ra’asu al-Jaaluut ni mazungumzo ya kidini yaliyolenga kuthibitisha utume wa Mtume Muhammad (s.a.w.w). Katika mjadala huu, Imamu Ridha (a.s) alirejelea maandiko kutoka Taurati, Injili, na Zaburi kama ushahidi wa kuthibitihsha utume wa Mtume Muhammad (s.a.w.w). Mazungumzo haya yamenukuliwa katika Hadithi zilizokusanywa na Sheikh Saduq, ambapo inasemekana kuwa, Khalifa Maamun ambaye ni Khalifa wa ukoo wa Abbasiyya, aliwaalika...') Tag: KihaririOneshi
- 18:33, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Mjadala kati ya Imamu Ridha (a.s) na Abu Qurra (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Mjadala kati ya Imamu Ridha (a.s) na Abu Qurra ni mazungumzo ya kina ya kielimu yanayohusu suala la uwepo wa Mungu katika mfumo wa kiwiliwili. Katika mjadala huu, Abu Qurra anashikilia imani ya kwamba; Mungu ana mwili, anaweza kuonekana, yuko katika mahali maalum, na ana ulimi kama wanadamu autumiao katika kuzungumza na kuwasiliana na viumbe mbali mbali. Abu Qurra amejitahidi kuthibitisha imani yake kwa kutumia Aya za Qur'ani na Hadithi, akilenga kuthibit...') Tag: KihaririOneshi
- 18:32, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Mdahalo kati ya Imam Ridha na Jathaliq (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Mdahalo kati ya Imam Ridha na Jathaliq mwenye imani ya Kikristo, ulikuwa ni mjadala wa mazungumzo ya kina uliojadili mada muhimu za kielimu, likiwemo suala la Unabii wa Mtume wa Muhammad (s.a.w.w) pamoja na asili ya kibinadamu ya Yesu Kristo. Mazungumzo haya yalifanyika katika kikao kilichoandaliwa kwa agizo la Khalifa wa ukoo wa Abbasiyay aitwaye Maamun, ambapo wanazuoni wa dini za Kiyahudi, Kikristo, Zoroastria (Kimajusi) na Kisaabi’i walishiriki katik...') Tag: KihaririOneshi
- 18:31, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Mdahalo wa Imamu Ridha (A.S.) na Imran Sabi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mdahalo wa Imamu Ridha (A.S.) na Imran Sabi''': Ni Mdahalo wa kihistoria na ni mojawapo ya mijadala muhimu ya kiakida kuhusiana na uwepo wa Mwenye Ezi Mungu na sifa Zake. Mdahalo huu uliwahusisha watu waili muhimu nao ni Imamu Ridha (a.s) na Imran Sabi’i, mwanazuoni maarufu wa wakati huo. Mdahalo huu ulifanyika kwa ombi la Khalifa wa Abbasiyya (Bani Abbas) aitwaye Maumun, ambaye alikusanya wanazuoni wakubwa kutoka dini mbalimbali, zikiwemo Ukristo, Uy...') Tag: KihaririOneshi
- 18:30, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Mjadala wa Imam Ridha na Mwanazuoni wa Kimajusi (Zoroastrianism) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mjadala wa Imam Ridha na Mwanazuoni wa Kimajusi (Zoroastrianism)''': ni mazungumzo ya kielimu kati ya Imamu Ridha (a.s) na Manazuoni wa Kimajusi, juu ya uthibitisho wa unabii wa mitume wa Kiyahudi, Ukristo na Uislamu. Mjadala huu uliojiri baina Imamu Ridha (a.s) na mwanazuoni huyo aliyejulikana kwa jina la Hirbidh, unajulikana kama ni moja ya mazungumzo muhimu ya kidini na kielimu katika Madhehebu ya Shia. Katika mjadala huu, Imamu Ridha (a.s) alitumia...') Tag: KihaririOneshi
- 18:29, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Malik bin Nuwaira (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Malik bin Nuwaira''' (Aliyeuawa mwaka wa 11 Hijria): alikuwa mmoja wa masahaba wa Mtume Muhammad (s.a.w.w) aliye uliwa kinyume na sheria kupitia upanga wa Khalid bin Walid. Kifo cha Malik katika vita vya Riddah, kimekuwa ni miongoni mwa masuala yenye mvutano mkubwa wa kidini kati ya Waislamu wa Kishia na Kisunni. Waislamu wa Kishia hulitumia tukio hili katika kupinga nadharia ya uadilifu wa masahaba wote. Omar bin Khattab aliamini kwamba Khalid bin...') Tag: KihaririOneshi
- 18:28, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Kuoa Dada Wawili kwa Wakati Mmoja (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kuoa Dada Wawili kwa Wakati Mmoja:''' Katika muktadha wa dini ya Kiislamu, haifai dada wawili kuolewa kwa wakati mmoja, ikiwa dada wawili hao wataolewa na mwanaume mmoja katika zama, jambao linachukuliwa kuwa haramu katika dini ya Kiislamu. [1] Mashiko na marejeo ya mafaqihi juu ya uharamu wa jambo ni Aya ya 23 ya suratu Al-Nisa, pamoja na Hadithi [2] zinazothibitisha wazi uharamu wa kufunga ndoa ya kudumu au ya muda na dada wawili kwa pamoja na kwa wak...') Tag: KihaririOneshi
- 18:27, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Kisomo cha Ndani ya Sala (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kisomo cha Ndani ya Sala''': kinahusiana na kusoma baadhi ya Sura za Qur’ani katika Swala. Nalo ni miongoni mwa vifungu vya wajibu wa kiibada ambavyo si miongoni mwa nguzo kuu za Sala. Ingawa kisomo hichi hkiingii moja kwa moja katika nguzo kuu za Sala, ila ni miongoni mwa sharti za lazima zinazotakiwa kufuatwa na kila mwenye kusimamisha Sala. Kulingana na mafundisho ya Kiislamu, mwenye kusali anatakiwa kusoma Suratu Al-Faatiha (Hamdu) pamoja na sura...') Tag: KihaririOneshi
- 18:26, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Ubatilifu wa Matendo Kutokana na Dhambi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ubatilifu na uharibikaji wa matendo''': unahusisha kupotea au kufutwa kwa thamani ya matendo mema kutokana na kutenda dhambi, na ni moja ya mijadala muhimu ndani ya elimu ya theolojia y Kiislamu. Kwa jumla, Waislamu wote wanakubaliana kuwa matendo mema yanaweza kupoteza malipo yake kutokana na dhambi za mja mwenyewe. Ingawa mitazamo ya wanazuoni inatofautiana juu ya namna ambavyo matendo hayo yanavyo poteza thamani yake. Kwa mujibu wa wanazuoni wengi wa...') Tag: KihaririOneshi
- 18:24, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Uzawa wa halali Katika Fiq’hi ya Kiislamu (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Uzawa wa halali Katika Fiq’hi ya Kiislamu''', unahusiana na kule mtu kuzaliwa kupitia njia zinazokubalika kisheria, ambapo mtoto huzaliwa kupitia ndoa iliyofungwa kihalali, yaani kupitia makubaliano ya sharia za Kiislamu. Uzawa wa halali (طهارت مَولِد) ni dhana muhimu inayotambuliwa kama ni sharti katika mambo fulani ya kidini. Kwa mfano, katika baadhi ya masuala ya kidini, kama vile kushika nafasi ya ijitihadi, mwanaznaa hawezi kukubali...') Tag: KihaririOneshi
- 18:23, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Dua ya Kufungua Saumu (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Dua ya Kufungua Saumu''': ni dua iliyopokewa kutoka kwa bwana Mtume (s.a.w.w) na Imam Ali (a.s), [1] ambayo husomwa wakati wa kufungua saumu. [2] Katika dua hii, mja huzungumza na Mola wake akimwambia: “(Ewe Mwenye Ezi Mungu), sisi tumeifunga saumu (hii) kwa ajili yako tu, na tunafungua (saumu hii) kwa riziki yako.” [3] Baada ya hapo, mtu huwomba Mwenye Ezi Mungu amkubalie ibada hii. [4] Kwa mujibu wa baadhi ya wafasiri na wachambuzi wa Hadithi, dh...') Tag: KihaririOneshi
- 18:22, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Sala ni bora kuliko usingizi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '"'''Sala ni bora kuliko usingizi''', Kiarabu: '''الصَّلاَةُ خَیْرٌ مِنَ النَّوْمِ'''" ni tamko na ibara inayotumiwa na Waislamu wa madhehebu ya Ahlu-Sunna, ambayo huitamka mara mbili katika Adhana ya Sala ya Alfajiri baada ya kumaliza kipengele cha Adhana kisemacho: "'''Haya ala al-Falah''' /'''حی علی الفلاح'''". Tamko hili linathaminiwa na wanazuoni wengi wa madhehebu ya Sunni ambao kwa kuzingatia Hadithi mbalimbali...') Tag: KihaririOneshi
- 18:21, 6 Oktoba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Aljaru Thumma Al-Daru (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Kauli ya "Al-Jara Thumma Al-Dara / اَلْجارَ ثُمَّ الدّار" yenye maana ya "Kwanza jirani kisha nyumba," imetokana matini ya Hadithi maarufu [1] kutoka kwa Bibi Fatma (a.s). [2] Kwa mujibu wa Riwaya iliyonukuliwa kutoka kwa Imamu Hassan (a.s), ni kwamba; mama yake (Bibi Fatma) alisimama usiku wa Ijumaa kucha hadi alfajiri akimwabudu Mola wake. Akiwa katika Miharabu yake alionekana akiwambea dua waumini wote wake kwa waume huku akiwataja kw...') Tag: KihaririOneshi
- 16:49, 28 Septemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Sayyid Hassan Nasrallah (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Sayyid Hassan Nasrallah (1960 - 2024): alikuwa ni Katibu Mkuu wa tatu wa Hizbullah, chama cha kisiasa na kijeshi cha Lebanon ambacho kiliasisiwa mano mwaka 1982. Chini ya uongozi wake, Hizbullah iliimarika na kuwa ni nguvu muhimu ya kikanda iliyofanikiwa kuilazimisha Israel kuondoka kusini mwa Lebanon mwaka 2000, baada ya operesheni za kijeshi zilizojumuisha kurudisha huru wafungwa wa Kilebanoni. Sayyid Hassan Nasrallah aliaga dunia kwa kuuawa shahidi mnam...')
- 19:26, 21 Agosti 2024 Saasamar majadiliano michango created page Maandalizi ya maiti (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Maandalizi ya maiti / تَجهِيزُ المَيِّت: Ni istilahi ya kifiq-hi iayohusisha na hatua na taratibu za maziko ya Mwislamu, ambazo ni wajibu kifaya, na zinapaswa kutekelezwa mara tu baada ya kifo kinapothibitishwa. Hatua muhimu za kuuandaa mwili wa maiti ni pamoja na: Ghusl (kumuosha), Hanut au tahnit (Kupaka kumpaka karafuu maiti), kunvisha sanda (kafan), kumsalia sala ya maiti, na kumzika. Mtu mwenye kipaumbele katika kuandaa maiti ni walii...')
- 19:01, 21 Agosti 2024 Saasamar majadiliano michango created page Istilahi ya "istelamu Al-Hajar" (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Istilahi ya "istelamu Al-Hajar" inarejelea kitendo cha kugusa Jiwe Jeusi (Hajaru al-Aswad) na kulibusu kwa nia ya kutafuta baraka. Kitendo hichi cha kugusa na kubusu jiwe hilo ni miongoni mwa matendo yaliyo sisitizwa katika vyanzo vya Hadithi za Shia pamoja na Sunni, huku wanazuoni wakiamini kuwa ni miongoni mwa yaliyo pendekezwa (sunna). Moja ya Hadithi zinazopokewa kutoka kwa Imamu Sadiq (a.s), inaeleza kwamba; falsafa ya kitendo hiki ni kushuhudia kwa J...')
- 19:01, 21 Agosti 2024 Saasamar majadiliano michango created page Inqilab (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Mabadiliko ya aina ya inqilab /انقلاب katika elimu ya fiqhi: ni mchakato maalumu wa pombe hubadilika kuwa siki. Wanazuoni wa fiqhi wanauhisabu mchakato huu kama ni mojawapo ya njia za kutahirisha vitu. Katika istilahi za kifiq-hi vitoharishi huitwa mutahhirat (Kiarabuمُطهّرات ). Kwa mujibu wa fatwa za wanazuoni wa fiq-hi, iwapo pombe itabadilika yenyewe au kwa kuongezewa vitu kama vile siki na chumvi na kuwa siki, basi siki hiyo itakuwa tahir...')
- 19:00, 21 Agosti 2024 Saasamar majadiliano michango created page Hotuba ya Khutta al-Maut (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Hotuba ya Khutta al-Maut (Kiarabu: خطبه خُطَّ المَوت): Ni moja ya hotuba zilizotolewa na Imamu Hussein (a.s) kuhusu hamu na shauku ya kupata shahada (kujitoa muhanga kwa ajili ya Uislamu). Hotuba hii ilitolewa pale Imamu Hussein (a.s) alipokuwa akiondoka Makka kuelekea Iraq. Katika moja ya sehemu za hotuba hii, Imamu Hussein (a.s) alitaja mahali pa kuuawa kwake kuwa ni kati ya Karbala na Nawawis. Matini ya hotuba ya Khutt al-Maut imepatikana...')