Rekodi kuu za umma
Mandhari
Hapa panaonyeshwa kumbukumbu zote za wikishia kwa pamoja. Unaweza kuona baadhi yao tu kwa kuchagua aina fulani ya kumbukumbu, jina la mtumiaji fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo), au jina la ukurasa fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo).
- 20:16, 12 Disemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Ummu Ayman (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Umm Ayman''' ni mmoja wa Maswahaba wa Mtume (saww) na mama yake Usama bin Zayd, ambaye Mtume Muhammad (SAW) alimtambulisha kama mmoja wa wanawake wa peponi. Baada ya kifo cha Mtume (saww.), alikuwa pamoja na Imam Ali (a.s.) kwenda kwa Abu Bakar kwa ajili ya kuidai kurejeshwa Fadak na alitoa ushahidi kwamba Mtume (saww) alimpa Fatima Zahra (as) Fadak. Ummu Ayman alikuwa mmoja wa watu wa kwanza kusilimu na kuingia katika Uislamu. Pia alikuwepo katika vit...') Tag: KihaririOneshi
- 14:41, 12 Disemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Barua ya Imamu Ali (as) Kwa Malik Ashtar (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Barua ya Imam Ali (as) kwa Malik Ashtar''' ndiyo barua kubwa na yenye maelezo mengi zaidi ya Nahaj al-Balagha kuhusu suala la utawala na siasa au sera za kusimamia na kujongoza jamii. Katika barua hii kumebainishwa, kanuni, misingi, mbinu, sera na maadili ya usimamizi, utawala na uongozi. Uzingatiaji wa hali ya juu kwa tabaka lisilojiweza kimahitaji, haja ya kuainisha muda kwa ajili ya kukutana na watu, kuchagua washauri imara na wenye busara na kuzuia...') Tag: KihaririOneshi
- 10:50, 10 Disemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Barua ya Imamu Ali (as) Kwa Imamu Hassan (as) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Barua ya Imam Ali (as) kwa Imam Hassan' (as)'' ni barua yenye maudhui ya masuala ya kimaadili ambayo Imam Ali (a.s.) alimwandikia mwanawe Imam Hassan (a.s.) baada ya vita vya Siffin. Barua hii imetathminiwa kuwa ya kina katika kueleza masuala ya kimalezi. Baadhi ya masuala muhimu yaliyozungumziwa katika barua hii ni: Kuelezea hatua za kujijenga na kujiboresha binafsi na thamani za kimaadili, maadili ya kijamii, kulea mtoto na njia yake ya malezi, udhar...') Tag: Visual edit: Switched
- 10:10, 1 Disemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Al-Sirah al-Mutashari’ah (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sirah al-Mutashari'ah''' ni makubaliano ya kivitendo ya wafuasi wote au wafuasi wengi wa dini au madhehebu kuhusiana na amali maalumu. Kwa maneno mengine ni kuwa, ni kitendo na amali ya Waislamu kwa sababu wao ni Waislamu na wanashikamana na hukumu za Sharia. Sirah Mutashari’ah ni moja ya masuala ambayo yanajadiliwa katika elimu ya Usul al-Fiqih. Suala la kuwa hoja KhabAr Wahed na hoja ya dhahir ni miongoni mwa mambo ya kimsingi na muhimu ambayo yanat...') Tag: KihaririOneshi
- 13:20, 28 Novemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Elimu ya Ghaibu (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Elimu ya ghaibu ni kuwa na ufahamu wa mambo yaliyofichika na mambo ambayo hayawezi kueleweka kwa hisi. Kwa mujibu wa Aya za Qur’ani Tukufu, wanateolojia wa Shia wamezingatia aina mbili za elimu ya ghaibu: Moja ni elimu ya asili au dhati na inayojitegemea ya ghaibu, ambayo ina maana ya aina ya elimu ya ghaibu ambayo haiwezi kupatikana kutoka kwa mtu mwingine. Aina hii ya elimu ya ghaibu ni makhsusi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu. Kwa maana kwamba, ni ya Mwen...') Tag: KihaririOneshi
- 10:15, 16 Novemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Ubahai (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ubahai''' ni dhehebu la kidini ambalo lilijitenga na dini ya Bábí/babisme, ambayo ilianzishwa katika karne ya 13 Hijria na Mirza Hussein Ali Noori anayejulikana kama Bahá'u'llah. Mirza Hussein Ali alikuwa mmoja wa wafuasi wa Seyyed Ali Muhammad Bab ambaye alianzisha madhehebu ya Baha'i baada ya kifo cha Bab. Baada ya Baha'u'llah, mwanawe Abbas Effendi, anayejulikana kama Abdu'l-Bahá, na kisha Shoghi Effendi, mjukuu wa Abdu'l-Bahá, alichukua uongoz...') Tag: Visual edit: Switched
- 06:22, 16 Novemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Barua ya Imamu Ali (as) kwa Othman bin Hunaif (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Barua ya Imamu Ali (as) kwa Othman bin Hunaif''' ni barua ambayo Imamu Ali (as) aliiandika akimhutubu Othman bin Hunaif mtumishi wake huko Basra. Barua hii ni mojawapo ya barua za Nahj al-Balagha, na lengo lake kuu ni kumlaumu Othman bin Hanaif kwa kushiriki katika mwaliko wa hafla ya kifalme, bila ya kuwepo kwa maskini.[1] Baadhi ya watafiti wameichukulia barua hii kuwa ni mfano wenye nguvu zaidi kwa nadharia ya upeo wa juu wa dini.[2] Pia imesemwa,...') Tag: Visual edit: Switched
- 20:13, 8 Novemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Adhabu ya Milele (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Adhabu ya milele au kubakia milele motoni''' ni moja ya mafundisho ya Uislamu na dini nyingi za Mwenyezi Mungu. Aya mbalimbali za Qur’ani zinataja adhabu ya milele kwa ibara ya “خَالِدِينَ فِيهَا” (watadumu humo milele) na mfano wa hayo zikiashiria adhabu ya milele; kama ambavyo hadithi nyingi zilizopokewa na Waislamu wa madhehebu ya Shia zinasisitiza juu ya kubakia milele katika moto wa jahanamu. Miongoni mwa wanafikra, kuna mit...')
- 19:49, 8 Novemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Kumsaidia Yatima (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kumsaidia yatima''' ni kumpa himaya na msaada wa kifedha na kimaanawi. Jambo hili limekokotezwa na kutiliwa mkazo mno katika Uislamu. Qur’ani tukufu inamthamini yatima na imewataka watu kuchunga haki za mayatima na kuwatendea wema. Katika Qur’ani kumeusiwa na kuagizwa kuwakirimu mayatima, kuwatendea wema, kuwalisha na kutoa kwa ajili ya mayatima. Katika hadithi pia suala la kuwafanyia upendo na kuwajali mayatima limezingatiwa na limepewa umuhimu wa...')
- 19:57, 7 Novemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Umri wa Imamu Mahdi (atfs) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Umri wa Imamu Mahdi (atfs)''' maana yake ni kuwa hai Imamu Mahdi (atfs) kuanzia 255 Hijria mpaka kudhihiri kwake na hizi ni katika itikadi na imani za Shia Imamiyah. Umri wa Imamu Mahdi mpaka kufikia 1446 Hijria umepindukia miaka 1190. Wapinzani wa Shia Imamiya akiwemo Ibn Taymiya na Nasser al-Qifari wamesema ni jambo liililo mbali kwa mtu kuishi umri kama huo na kulifanya hilo kuwa hoja ya kukana kuzaliwa Imamu Mahdi (atfs). Maulamaa wa Imamiyah wana...')
- 19:35, 7 Novemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Vita vya Bani Mustaliq (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Makala hii inahusiana na '''Vita vya Bani Mustaliq'''. Ili kujua kuhusiana na kabila lenye jina hili, angalia makala ya kabila la Bani Mustaliq. Vita vya Bani Mustaliq au Vita vya Muraysi ni miongoni mwa vita ambavyo Bwana Mtume (saww) alishiriki kwa ajili ya kukabiliana na kabila la Bani Mustaliq. Vita hivi vilitokea mwaka wa 5 au 6 Hijria. Katika vita hivi Abu Dhar al-Ghiffari alikuwa mrithi wa Mtume mjini Madina baada ya Mtume kwenda vitani na idadi ka...') Tag: Visual edit: Switched
- 10:58, 6 Novemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Hadithi ya “Man Mata” (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Hadithi ya “Man Mata” ni hadithi iliyonukuliwa kutoka kwa Bwana Mtume (saww) ambayo kwa mujibu wake ni: Atakayekufa hali ya kuwa si mwenye kumfahamu Imamu wa zama zake, amekufa kifo cha kijahilia. Hadithi hii imenukuliwa kwa lafudhi mbalimbali katika vitabu na vyanzo vya Kishia na Kisunni na hadithi ambayo imeafikiwa na pande zote mbili (Mashia na Masuni). Pamoja na hayo, kuna ufahamu na welewa tofauti baina ya Waislamu wa Kishia na Kisunni kuhusiana n...') Tag: Visual edit: Switched
- 10:43, 6 Novemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Ruqayyah binti ya Imamu Ali (as) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ili kujua matumizi mengine angalia Ruqayyah (kuondoa utata) Ruqayyah bint Ali (as) (alikuwa hai mpaka 61 Hijria), ni mke wa Muslim bin Aqil na mmoja wa mateka wa Karbala. Ruqayyah alikuweko katika tukio la Karbala. Alipata habari ya kuuawa shahidi mumewe Muslim bin Aqil wakati akiwa njiani kutoka Makka kuelekea Karbala. Katika siku ya Ashura pia watoto wake Abdallah na Muhammad kwa mujibu wa baadhi ya kauli waliuawa shahidi na yeye akachukuliwa mateka na...')
- 18:58, 31 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Vita vya Hamra al-Asad (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Vita vya Hamra al-Asad''' ni miongoni mwa Ghazwa (vita ambavyo Mtume alishiriki). Vita hhivi vilitokea mwaka wa 3 Hijria na siku moja baada ya Vita vya Uhud. Inaelezwa kuwa, wakati Mtume alipofahamu nia ya Washirikina wa Makka ya kutaka kushambulia tena Madina baada ya Vita vya Uhud, alitoa amri ya kufuatiliwa maadui. Katika vita hivi kwa amri ya Mtume nyakati za usiku kila Muislamu alikuwa akiwasha moto ili kuonyesha kwamba, idadi ya jeshi la Waislamu...') Tag: Visual edit: Switched
- 22:05, 30 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Kushukuru (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kushukuru''' ni kutoa shukurani na kuthamini kwa ulimi na kivitendo neema za Mwenyezi Mungu. Wanazuoni na wasomi wa elimu ya irfan (maurafaa) wa Kiislamu wanasema kuwa, kushukuru kuko kwa aina tatu: Kwa ulimi, kwa moyo na kivitendo. Kushukuru kwa ulimi ni kukiri kwa maneno kuhusiana na neema, kushukuru kwa moyo ni kutambua neema za Mwenyezi Mungu na kushukuru kivitendo ni kuonyesha utiifu katika vitendo kuhusiana na neema za Mwenyezi Mungu. Kwa mujibu...')
- 21:57, 30 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Salman ni katika sisi Ahlul-Bayt (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Salman ni katika sisi Ahlul-Bayt''' ni hadithi mashuhuri, mutawatir (iliyopokewa kwa wingi) na yenye sanadi na mapokezi sahihi iliyopokewa kutoka kwa Mtume (saww) kuhusiana na fadhila na daraja ya Salman Farsi. Baadhi ya Maimamu wa Kishia kama Imamu Ali (as), Imamu Sajjad (as) na Imamu Baqir (as) wamebainisha hadithi hii kwa sura ya kujitegemea au kwa kunukuu kutoka kwa Bwana Mtume (saww). Tukio la kuchimbwa handaki katika vita vya Ah’zab na maneno ya...')
- 21:45, 30 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Khawlah bint Mandhur (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Khawlah bint Mandhur bin Dhabban al-Fazari''' ni mke wa Imamu Hassan al-Mujtaba (as) na mama wa Hassan al-Muthanna. Alikuwa mke wa kwanza wa Muhammad bin Talha ambaye aliuawa katika vita vya Jamal na baada ya hapo akaolewa na Imamu Hassan Mujtaba (as). [1] Mama wa Khawlah alikuwa Malika bint Kharijah bin Sanan. [2] Kwa mujibu wa ripoti baada ya kuuawa Muhammad yaani mume wa kwanza wa Khawlah, Abdallah bin Zubair aliyekuwa shemeji yake (yaani mume wa da...')
- 21:41, 30 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Ali bin Abi Rafi’ (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ali bin Abi Rafi’''' mwandishi na msimamizi wa Beitul Maal (Hazina ya Dola) katika utawala wa Imamu ali (as). Yeye ni mtoto wa Abu Rafi’ sahaba wa Mtume (saww) na kaka wa Abdallah bin Abi Rafi’. [1] Ali bin Abi Rafi’ alikuwa tabii (mtu aliyekutana na mmoja au masahaba kadhaa wa Mtume) na mmoja wa masahaba wa Imamu Ali (as) ambaye kwa mujibu wa Sayyid Muhsin Amin alikuweko katika vita vya Jamal, Siffin na Nahrawan na alikuwa katika jeshi la Imam...')
- 21:39, 30 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Shetani Mkubwa (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Shetani Mkubwa''' ni jina na wasifu ambao Imam Khomeini aliipatia Marekani katika hotuba yake baada ya kutekwa ubalozi wa Marekani mjini Tehran. [1] Katika hotuba yake, alitumia ushabihishaji huu kutoka katika hadithi kwamba mkubwa wa mashetani (ibilisi), baada ya Mtume (saww) kubaathiwa aliwakusanya wenzake na kuzungumzia juu ya kutumia njia ngumu ya kupotosha watu. [2] Kwa utaratibu huu, kwa mujibu wa maneno ya Imamu Khomeini ni kuwa, katika Mapinduzi...') Tag: Visual edit: Switched
- 21:35, 30 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Wajib Kifai (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Wajib Kifai''' ni miongoni mwa wajibu za kidini ambao ni lazima kwa wakalafu (mukallafin) wote kutekeleza, lakini kama wakifanya na kutekeleza wajibu huo baadhi ya watu, bali taklifu hiyo huondoka kwa wengine. Wajib Kifai ni mkabala wa Wajib Aini (wajibu ambao ni lazima kila mtu kufanya) au wajibu wa kila mtu. Kwa ibara nyingine ni kuwa, Wajib Aini ni aina za wajibu za kidini ambazo mukallafu anapaswa kuzitekeleza yeye mwenyewe. Kumuandaa maiti, kupigan...') Tag: Visual edit: Switched
- 20:55, 30 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Zahra (lakabu) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Zahra ni moja ya lakabu za bibi Fatma Zahra (as) [1] ambayo ina maana ya weupe wenye mng’ao [2] kama lulu inayong’ara. [3] Allama Majlisi katika kufasiri hadithi kutoka kwa Imamu Swadiq (as) inayoeleza sababu ya Bibi Fatima (as) kupewa lakabu hii amesema: Kung’ara kwake huku kuna maana ya nuru ya kimaanawi. [4] Neno Zahra au Fatima Zahra ni miongoni mwa majina ambayo hadithi na maandiko ya Ziara yamemhutubu Bibi Fatma. Kadhalika Maimamu wa Kishia wa...')
- 12:37, 21 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Zinaa ya Muhsana (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Makala hii inahusiana na wasifu kuhusu mafuhumu na maana ya kifikihi na hivyo haiwezi kuwa kigezo cha amali na matendo ya kidini. Kwa ajili ya amali za kidini, rejea katika vyanzo vingine. '''Uzinzi wa Mohsana''' ni zinaa ya mwanamume mwenye mke au mwanamke mwenye mume na jambo hili linatimia chini ya masharti fulani na adhabu yake ni kupigwa mawe. Uzinzi wa mwanamume au mwanamke aliyeko katika ndoa ambayo katika istilahi ya kifikihi inajulikana kwa jin...')
- 12:07, 21 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Tatbir (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Tatbir''' ni katika ada za maombolezo kwa baadhi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika maombolezo ya Imamu Hussein (as) ambapo ndani yake hutumia kujipiga miili yao kwa panga na jambia na kupelekea kuchirizika damu. Kitendo hiki ni ada potofu na ambayo inapelekea kuchafua jina la madhehebu ya Shia. Tatbir (kujipiga na kujikata) wakati wa maombolezo ya Imamu Hussein ilienea takribani katika karne ya 10 Hijria na hii leo ada hii inafanyika katika mataif...') Tag: Visual edit: Switched
- 10:16, 21 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Teolojia ya Kiislamu (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Makala hii inahusiana na Teolojia ya Kiislamu. Ili kujua kuhusiana na Elimu ya Teolojia kwa mujibu wa Shia Imamiyyah angalia makala ya Teolojia ya Shia Imamiyyah. '''Teolojia ya Kiislamu''' ni tawi la elimu za Kiislamu ambayo hujadili kuhusiana na misingi ya kiitikadi ya Kiislamu na kuitetea kwa hoja. Pia teolojia ya Kiislamu ina jukumu la kujibu maswali yanayozushwa kuhusu sababu za hukumu za Sharia, mkusanyiko wa mafundisho ya dini na vitendo vya Mwenye...')
- 09:26, 21 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Othman bin Said al-Amri (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Othman bin Said al-Amri''' (alifariki dunia 267 Hijria) mashuhuri kwa jina la Abu Amru ni Naibu wa Kwanza kati ya Manaibu Wanne wa Imam wa 12 wa Waislamu wa madhehebu ya Shia katika kipindi cha Ghaiba Ndogo. Ametambuliwa kuwa mmoja wa masahaba wa Imamu Hadi (as), Imamu Hassan Askary (as) na Imamu Mahdi (as). Hata hivyo kuna shaka na utata kuhusiana na suala la kwamba, alikuwa mmoja wa masahaba wa Imamu Jawad (as). Othman bin Said alikuwa Naibu wa Imamu...')
- 08:53, 21 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Hadith Qurb al-Nawafil (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Hadith Qurb al-Nawafil''' ni hadithi Quds ambayo Mwenyezi Mungu alimhutubu Mtume (saww) akiwa katika safari ya Miraji. Hadithi hii inaeleza nafasi na daraja ya muumini mbele ya Mwenyezi Mungu na kujikurubisha mwanadamu kwa Mwenyezi Mungu kupitia kutekeleza faradhi na mambo ya wajibu na nafila (mambo ya sunna na mustahabu). Katika hadithi hii, kumvunjia heshima walii wa Mwenyezi Mungu kumetambuliwa kuwa ni mithili ya kupigana vita na Mwenyezi Mungu na M...') Tag: Visual edit: Switched
- 14:31, 14 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Herufi za mkato (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Herufi za mkato''' ni herufi moja au kadhaa ambazo zimeanza katika Sura 29 za Qur'ani Tukufu baada ya Bismillahi Rahman Rahim. Herufi hizi husomwa moja moja na kwa kutenganishwa; kwa mfano الم iliyokuja mwanzonii mwa Surat al-Baqarah inasomwa: "alif, laam, mim". Ukiondoa Sura za al-Baqarah na Aal Imran, Sura nyingine zote zilizoanza na herufi za mkato ni Makki (zimetarenmeshwa Makka). Baadhi ya Sura za Qur’ani ambazo zimeanza na herufi za mkato ni...') Tag: Visual edit: Switched
- 13:44, 9 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Nyakati za Swala (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Nyakati za Swala''' ni moja ya masharti ya kusihi Sala za kila siku. Kila Sala miongoni mwa Swala za kila siku inapaswa kuswaliwa katika wakati ulioainishwa na kinyume na hivyo wadhifa utakuwa haujatekelezwa. Kwa mujibu wa Fat'wa za mafakihi ni kwamba: '''Wakati wa Swala ya Asubuhi''': Huanzia kuchomoza kwa alfajiri na hukomea wakati wa kuchomoza jua. '''Wakati wa Swala ya Adhuhuri''': Huanzia wakati jua linapopinduka wakati wa mchana mpaka kabla ya...') Tag: Visual edit: Switched
- 13:15, 9 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Adhabu ya kupiga mawe (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Makala hii imeandikwa ikitoa wasifu kuhusu mafuhumu na maana ya kifikihi na hivyo haiwezi kuwa kigezo cha amali na matendo ya kidini. Kwa ajili ya amali za kidini, rejea katika vyanzo vingine. '''Kupiga mawe''' au rajm ni adhabu ambayo mhukumiwa hufukiwa ardhini mpaka kimo cha kiuno au kifua na kisha hupigwa mawe mpaka afe. Kupiga mawe ni katika hudud (adhabu zisizo za kimali) na ni adhabu kwa ajili ya mzinifu Muhsanah yaani mwanaume au mwanamke aliyezini...')
- 12:25, 9 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Khasais al-Nabi (s.a.w.w) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Makala hii inahausiana na maana na mafuhumu ya Khasais al-Nabi (Sifa na mambo maalumu ya Mtume) Ili kuona orodha ya vitabu vya Sifa maalumu za Mtume (s.a.w.w) soma Makala ya Khasais al-Nabi (vitabu) Khasais al-Nabi au Ikhtisasat al-Nabi inaashiria sifa maalum na huuumu maalumu zinazomhusu Mtume Muhammad (s.a.w.w), sifa ambazo zinamtofautisha yeye na Waislamu pamoja na Mitume wengine. Katika fikihi Khasais al-Nabi inaelezwa kuwa ni sifa na mambo maalumu y...')
- 11:49, 9 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Tahaddi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Makala hii inahusiana na changamoto. Ili kujua kuhusiana na changamoto katika Qur'ani, angalia makala ya Ayaat Tahaddi. '''Tahaddi''' ni hatua ya Mitume ya kuwapa changamoto na kuwataka wanaokana Utume wao walete mfano wa miujiza yao. Changamoto inafanywa ili kuthibitisha Utume wa Mtume kwa muujiza. Qur’ani imertoa changamoto katika Aya sita, ambazo ni maarufu kwa jina la Ayaat Tahaddi. Katika Aya za Tahaddi (Aya za Changamoto), waliokanusha Utume wa Mt...')
- 11:10, 9 Oktoba 2024 Bendera majadiliano michango created page Hilyat al-Muttaqin (kitabu) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Hilyat al-Muttaqin''' ni kitabu cha Kifarsi kuhusu akhlaq (maadili), adabu, desturi na ada za Kiislamu kilichoandikwa na Allama Majlisi (1110-1037 H). Kama Allama Majlisi alivyosema, kitabu hiki ni tarjumi nyepesi ya hadithi sahihi za Shia. Kitabu cha Hilyat al-Muttaqin kimepangwa katika faslu au milango 14 na hitimisho moja, na miongoni mwa yaliyomo ndani ya kitabu hiki ni pamoja na adabu za uvaaji nguo, adabu za kula na kunywa, ndoa na maingiliano na...') Tag: Visual edit: Switched
- 12:00, 24 Septemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Hadithi ya Rayyan bin Shabib (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Hadithi ya Rayyan bin Shabib''' ni hadithi iliyonukuliwa na Rayyan bin Shabib kutoka kwa Imamu Ali bin Mussa al-Ridha (as) kuhusiana na mwezi wa Muharram (Mfunguo Nne), kulia na kufanya maombolezo kwa ajili ya Imamu Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as). Katika hadithi hii kunaashiriwa amali za siku ya kwanza ya mwezi wa Muharram kuvunjia heshima na utukufu wa mwezi huu kwa kuuawa shahidi Imamu Hussein (as) ndani ya mwezi huu, maagizo ya kulia kwa ajili y...')
- 11:47, 24 Septemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Imani (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Imani''' ni kuwa na itikadi ya moyoni juu ya Mwenyezi Mungu na upweke Wake, (ya kwamba Mungu ni mmoja) Utume, mafundisho ya Mtume (saww) na Maimamu Maasumina kumi na wawili (as). Mafakihi wa Shia wanaichukulia imani kuwa ni miongoni mwa masharti ya lazima Marjaa Taqlidi, Imamu wa Sala ya Jamaa, kadhi na mpokeaji wa Zaka. Kulingana na wanazuoni wengi wa Kishia, imani sio jambo la kufuata na kuiga (sio katika mambo ya kukalidi). Wanateolojia wa Shia wame...')
- 11:43, 24 Septemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Aya ya Udhu (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Makala hii inazungumzia na kujadili Aya ya Udhu. Ili kujua kuhusiana na hukumu za fikihi za Udhu rejea kiungo cha makala ya Udhu. Aya ya Udhu ni Aya ya 6 katika Surat al-Maidah na ni katika Aya za hukumu za Qur’ani ambayo kupitia kwayo, wanazuoni na mafakihi wanabainisha na kuthibitisha namna ya kutia udhu na wajibu wa Udhu kwa ajili ya Sala. Katika Aya hii Waislamu wameamrishwa kutia udhu kwanza kila wanapotaka kutekeleza ibada ya Sala ambapo kwanza wa...') Tag: Visual edit: Switched
- 10:00, 21 Septemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Aya za Nushuz (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Makala hii inahusiana na Nushuz katika Qur’an. Ili kujua maana ya Nushuz na hukumu zake rejea makala ya Nushuz. Aya za Nushuz ni sehemu ya Aya za 34 na 128 za Surat al-Nisaa ambazo zinazungumzia Nushuz na hukumu zake. Nushuz maana yake ni kukwepa mume au mke kutekeleza majukumu ya kisheria ya mke na mume. Aya ya 34 inazungumzia mke kukwepa kutekeleza majukumu ya kisheria kama mke kwa mumewe na Aya ya 128 ya Sura hiyo hiyo ya al-Nisaa inazungumzia mume...') Tag: Visual edit: Switched
- 12:24, 14 Septemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Akili (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Akili''' ni mojawapo ya uwezo wa utambuzi wa mwanadamu na mojawapo ya vyanzo vinne vya kupata hukumu za sheria katika fiqhi ya Shia. Akili ina umuhimu maalumu katika mafundisho ya Kiislamu na imekuwa ikizingatiwa kuwa ni uthibitisho na huja kwa wanadamu kama Manabii. Katika baadhi ya riwaya, akili inazingatiwa kuwa, kiumbe wa kwanza kuumbwa na Mwenyezi Mungu. Wataalamu wa elimu ya ufahamu (epistemolojia) wanasema kuwa, akili ni nguvu ya kuelewa na kudir...') Tag: Visual edit: Switched
- 12:11, 14 Septemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Baqiyatullah (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Baqiyatullah''' ni moja ya lakabu za Imamu Mahdi (atfs), Imamu wa mwisho katika mlolongo wa Maimamu 12 wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia ambaye kwa sasa yupo ghaiba (haonekani katika upeo wa macho ya watu). Neno Baqiyatullah limetumika katika Qur’ani na katika baadhi ya hadithi za tafsiri limefanyiwa taawili ya Maimamu wa Shia na katika baadhi ya hadithi hizo limetambuliwa kuwa lakabu ya Imamu Mahdi (atfs). Neno "Baqiyatullah" katika msamiati na tafsir...') Tag: Visual edit: Switched
- 19:03, 13 Septemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Malezi ya mtoto (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Malezi ya mtoto au kulea kunamaanisha kuandaa na kujenga misingi ya ukuaji wa mtoto, ili awe na maadili mema ya kidini na kidunia. Kulea mtoto ni jambo ambalo limezingatiwa sana katika riwaya na hadithi za Kiislamu. Katika hadithi za Ahlul-Bayt (a.s.), vipindi vitatu vya miaka saba vinazingatiwa kwa ajili ya kulea mtoto, kutoka wakati wa kuzaliwa hadi umri wa miaka 21, na kila kipindi kina masharti na maagizo maalumu. Kujiepusha na adhabu na matusi, kuhes...')
- 18:42, 13 Septemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Kuzaa watoto (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kuzaa watoto''' ni jambo ambalo limezingatiwa na Qur’an na hadithi za Maasumina kuwa, zuri na la kupendeza. Dua ya Nabii Ibrahim (a.s) na Zakaria (a.s) ya kutaka kuruzukiwa mtoto katika umri wa uzee wao na habari njema ya Mwenyezi Mungu ya kujibiwa maombi yao inachukuliwa kuwa ni dalili ya umuhimu wa suala hili. Pia, katika hadithi iliyonukuliwa kutoka kwa Mtume (s.a.w.w), imetajwa kwamba atajifakharisha kwa wingi wa Ummah wake Siku ya Kiyama. Mato...') Tag: Visual edit: Switched
- 18:26, 13 Septemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Harakati ya Zayd bin Ali (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Harakati ya Zayd bin Ali''' ni uasi dhidi ya serikali ya Bani Umayya uliokuwa ukiongozwa na Zayd bin Ali bin Husein. Mapinduzi haya yalitokea mwezi Safar (Mfunguo Tano) mwaka wa 122 Hijiria wakati wa utawala wa Hisham bin Abdul Malik, yakiambatana na kipindi cha Uimamu wa Imamu Sadiq (a.s.) na kusababisha kifo cha Zayd na wengi wa masahaba zake. Imamu Sadiq (a.s.) hakufuatana na Zayd katika uasi huu. Kuna hitilafu baina ya wanachuoni wa Kishia katika uc...')
- 19:42, 12 Septemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Ibrahim Mahziyar (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ibrahim bin Mahzyar Ahwazi''', mpokezi wa hadithi wa Kishia wa karne ya tatu Hijria alikuwa mmoja wa masahaba wa Imam Jawad (a.s) na aliyekuwa akinukuu hadithi kutoka kwa Imam Hadi (a.s.) na Imam Askari (a.s.). Katika vyanzo vya hadithi vya Shia, kuna hadithi zilizonukuliwa kutoka kwa Ibrahim bin Mahziyar. Kulingana na Ayatullah Khui, jina lake linaonekana katika zaidi ya simulizi 50. Wanachuoni wa Shia wametofautiana kuhusu kuwa na itibari hadithi za I...') Tag: Visual edit: Switched
- 19:37, 10 Septemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Wake za Mtume (s.a.w.w) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Wake za Mtume''' (s.a.w.w) ni wanawake aliowaoa Mtume na wametajwa ndani ya Qur'an kwa majina ya Umahat al-Muuminina (mama wa waumini) na kuna kanuni na amri maalum juu yao. Wanachuoni wa Kiislamu wametofautiana kuhusu idadi ya wake za Mtume (s.a.w.w). Wengine wameorodhesha wake zake kuwa ni 13 na wengine wamesema ni 15. Aidha kuna maoni mengine katika suala hili. Asili ya tofauti hii inarejea kwenye kuhesabiwa na kutohesabiwa kwa makanizi (binti au mw...')
- 13:33, 9 Septemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Tashahudi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Makala hii inahusiana na wasifu kuhusu mafuhumu na maana ya kifikihi na hivyo haiwezi kuwa kigezo cha amali na matendo ya kidini. Kwa ajili ya amali za kidini, rejea katika vyanzo vingine. '''Tashahudi''' ni katika mambo ya wajibu katika Sala katika rakaa ya pili baada ya sijida mbili na katika rakaa ya mwisho baada ya sijida mbili na ndani yake ina matamshi ya kukiri kwamba, Mungu ni Mmoja na Utume wa Muhammad (s.a.w.w) na vilevile kumswalia Mtume na wat...') Tag: Visual edit: Switched
- 13:22, 9 Septemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Muhajirina (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Makala hii inahusiana na Muhajirina. Ili kujua kuhusiana na maana ya kuhajiri (hijra) kuelekea Madina na Uhabeshi angalia makala za Hijra kuelekea Madina na Hijra kuelelea Uhabeshi. '''Muhajirina''' ni Waislamu waliokuwa wakiishi Makka na baada ya kusilimu na kustahimili mashinikizo ya washirikina, walihajiri na kuhahamia Madina kwa amri ya Mtume (s.a.w.w). Muhajrina hao walikuwa na nafasi katika kuutangaza Uislamu kwa kuhama na kuhajiri kwao huko na wal...')
- 12:37, 9 Septemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Al-Ash'ath bin Qays al-Kindi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Al-Ash'ath bin Qays al-Kindi''' (aliaga dunia 40 H) alikuwa mmoja wa makamanda wa jeshi la Imamu Ali (as) katika Vita vya Siffin ambaye aliunga mkono maamuzi ya Abu Musa Ash’ari na akazuia kuendelea kwa vita na Mu’awiya bin Abi Sufyan. Ash'ath alikuwa na mchango katika kusimama vita vya Siffin na katika suala la usuluhishi na upatanishi, alimpinga Abdullah bin Abbas kama hakimu kwa niaba ya Imam Ali (a.s.) na Wairaqi na akapendekeza Abu Musa Ash'ar...')
- 12:10, 9 Septemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Aya ya Hijabu (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Aya ya Hijabu''' (Surat Nur: 31) inabainisha na kueleza ulazima wa wanawake kuvaa hijabu. Aya hii ni hoja inayotumiwa na mafakihi kwa ajili ya kuonyesha kuwa vazi la hijabu ni wajibu kwa wanawake. Kadhalika baadhi ya mafakihi kwa mujibu wa ibara " «اِلّا ما ظَهَر مِنها؛ (isipo kuwa unao dhihirika) iliyokuja katika Aya ya Hijabu wamesema kuwa, sio wajibu kwa mwanamke kufunika uso na mikono na kuanzia kifundo cha miguu mpaka chini. Kuna...') Tag: Visual edit: Switched
- 11:51, 9 Septemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Wiki ya Umoja (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Wiki ya Umoja''' ni kipindi cha baina ya tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal na 17 Mfunguo Sita Rabiul Awwal. Waislamu wa madhehebu ya Suni wanasema, Mtume (s.a.w.w) alizaliwa tarehe 12 Mfunguo Sita (Rabiul Awwal) mwaka wa Tembo (570 Miladia) na Waislamu wa madhehebu ya Shia wanasema, mjumbe huyo wa Mwenyezi Mungu alizaliwa tarehe 17 Mfunguo Sita mwaka huo huo. Hivyo madhehebu haya mawili yametofautiana kuhusiana na tarehe ya kuzaliwa Mtume. Wiki ya U...') Tag: Visual edit: Switched
- 07:00, 21 Agosti 2024 Bendera majadiliano michango created page Ubebaji mwenge (ada ya kidini) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ubebaji mwenge''' ni mojawapo ya ada na mila za maombolezo ya Muharram nchini Iran na Iraq. Ada hii ya kidini hii hufanyika zaidi katika kumi la kwanza la Muharram huko Iraq na maeneo ya kati na kusini mwa Iran. Katika ada hii ya kidini mioto ya mwenge au mienge huwekwa katika mitaa na viwanja na mahali patakatifu. '''Historia yake''' Hakuna taarifa sahihi kuhusu umri wa mila hii ya uwashaji na ubebaji mienge. [2] Baadhi ya watu wanasema kuwa historia...')
- 06:39, 21 Agosti 2024 Bendera majadiliano michango created page Msikiti wa Jamia wa Basra (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Msikiti wa Jamia wa Basra''' (Msikiti Mkuu wa Basra) ndio msikiti mkongwe zaidi uliojengwa nchini Iraq, ulioko katika mji wa Basra. Msikiti huu pia unajulikana kama "Masjid Khut’wah Imam Ali (AS)" (Nyayo za Imam Ali) kutokana na kuwepo kwa Imamu wa kwanza wa Shia ndani yake. Baada ya kumalizika kwa vita vya Jamal, Imam Ali (a.s.) alikwenda katika msikiti huo na kutoa khutba kwa watu. Katika kipindi cha miaka yote hii, Msikiti Mkuu wa Basra umeboreshwa...')