Sala ya maiti : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
|||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Faili:نماز بر پیکر آیت الله آصفی توسط آیت الله مکارم.jpg|thumb]] | |||
'''Sala ya maiti''' (Kiarabu: '''''صلاة الميت''''') ni sala [[iliyowajibishwa]] kwa [[Muislamu|Waislamu]] kuisalia maiti ya Muislamu mwenzao kabla ya kuizika maiti hiyo. Sala ya maiti ina [[takbira]] tano. Mfumo wa kumsalia maiti kama ifuatavyo: | '''Sala ya maiti''' (Kiarabu: '''''صلاة الميت''''') ni sala [[iliyowajibishwa]] kwa [[Muislamu|Waislamu]] kuisalia maiti ya Muislamu mwenzao kabla ya kuizika maiti hiyo. Sala ya maiti ina [[takbira]] tano. Mfumo wa kumsalia maiti kama ifuatavyo: | ||
Baada ya takbira ya kwanza ya husomwa [[Shahada mbili|shahada mbili]], baada ya takbira ya pili ya [[husaliwa Mume (s.a.w.w)]], baada ya takbira ya tatu huwaombewa msamaha waumini na Waislamu kwa jumla, na baada ya takbira ya nne humuombewa msamaha marehemu anayesaliwa sala hiyo, kisha huhitimishwa sala hiyo kwa kusomwa takbira ya tano, yaani haimalizwi kwa kutoa salamu, bali itolewapo takbira ya tano, huwa ndiyo hitimisho la sala hiyo. | Baada ya takbira ya kwanza ya husomwa [[Shahada mbili|shahada mbili]], baada ya takbira ya pili ya [[husaliwa Mume (s.a.w.w)]], baada ya takbira ya tatu huwaombewa msamaha waumini na Waislamu kwa jumla, na baada ya takbira ya nne humuombewa msamaha marehemu anayesaliwa sala hiyo, kisha huhitimishwa sala hiyo kwa kusomwa takbira ya tano, yaani haimalizwi kwa kutoa salamu, bali itolewapo takbira ya tano, huwa ndiyo hitimisho la sala hiyo. |