Sala ya maiti : Tofauti kati ya masahihisho
→Hukumu za Sala ya maiti
Mstari 65: | Mstari 65: | ||
Baadhi ya hukumu za kifiqhi za sala ya maiti ni: | Baadhi ya hukumu za kifiqhi za sala ya maiti ni: | ||
* Sala ya maiti ni faradhi inayojitosheleza (faradhi kifaya); Kwa hiyo, iwapo mtu mmoja ajitokeza na kuchukuwa jukumu la kumsalia maiti huyo, wajibu huo wa kumsalia maiti utawaepeka Waislamu wengine waliobaki. [14] | * Sala ya maiti ni [[faradhi inayojitosheleza]] (faradhi kifaya); Kwa hiyo, iwapo mtu mmoja ajitokeza na kuchukuwa jukumu la kumsalia maiti huyo, [[wajibu huo]] wa kumsalia maiti utawaepeka Waislamu wengine waliobaki. [14] | ||
* Kwa mujibu wa maelezo ya Sahib Jawahar ni kwamba; Maoni ya mafaqihi walio maarufu yanesema kuwa, ni | * Kwa mujibu wa maelezo ya [[Sahib Jawahar]] ni kwamba; Maoni ya mafaqihi walio maarufu yanesema kuwa, ni [[makuruhu]] (haikupendekezawa) kusalia maiti sala kadhaa. [15] Kwa mujibu wa fatwa za [[Ayatullah Sistani]] ni kwamba; Hakuna ithibati juu umakruhu (kutopendekezwa) kwa suala hilo, hasa kama maiti hiyo itakuwa ni maiti ya mwanazuoni na [[uchamungu]], katu hakutakuwa na umakruhu juu ya kussalia yeye sala zaidi ya moja. [16] | ||
* Sala ya maiti inaweza kusaliwa kwa jamaa, na pia inaweza kusaliwa kwa mfumo wa furada (kila kusali bila ya kumfuata imamu). Lakini hata kama mtu asali sala hiyo kwa jamaa, ni lazima yeye asome takbira zote tano pamoja na kinachotakiwa kusomwa ndani ya sala hiyo, yaani kisomo cha imamu hakishelezi katika kuikamailisha sala ya maamuma wake (anayesali kwa kumfuata yeye). [17] | * Sala ya maiti inaweza kusaliwa kwa jamaa, na pia inaweza kusaliwa kwa mfumo wa furada (kila kusali bila ya kumfuata imamu). Lakini hata kama mtu asali sala hiyo kwa jamaa, ni lazima yeye asome takbira zote tano pamoja na kinachotakiwa kusomwa ndani ya sala hiyo, yaani kisomo cha imamu hakishelezi katika kuikamailisha sala ya maamuma wake (anayesali kwa kumfuata yeye). [17] | ||
* Sala ya maiti ni | * Sala ya maiti ni [[wajibu]] kwa kila Muislamu ambaye amefikisha umri wa miaka sita. [18] | ||
* Maiti aliye kafiri au mwenye uadui na na kizazi cha Mtume (s.a.w.w) huwa hasaliwi sala ya maiti. [19] | * Maiti aliye [[kafiri]] au [[Nasibi|nasibi]] (mwenye uadui na na kizazi cha Mtume (s.a.w.w)) huwa hasaliwi sala ya maiti. [19] | ||
* Si lazima katika sala ya maiti, mtu | * Si lazima katika sala ya maiti, mtu [[kutoharika]] kutokana na josho la wajibu, kama vile janaba, hedhi au nifasi, na wala si lazima mtu kuwa na udhu katika kumsalia maiti. [20] Bila shaka, ni bora zaidi iwapo mtu azingatia masharti yote ya sala nyingine za faradhi katika sala hiyo ya maiti. [21] | ||
* Ni lazima maiti asaliwe kabla ya kuzikwa kwake [22] na iwe ni baada ya kukoshwa na kuvikwa sanda (kukafiniwa). [23] | * Ni lazima maiti asaliwe kabla ya [[kuzikwa]] kwake [22] na iwe ni baada ya [[kukoshwa]] na [[kuvikwa sanda]] (kukafiniwa). [23] | ||
* Ikawa Mwislamu atazikwa bila ya kusaliwa, basi ni lazima Waislamu waende kusalia kaburini kwake. [24] | * Ikawa Mwislamu atazikwa bila ya kusaliwa, basi ni lazima Waislamu waende kusalia kaburini kwake. [24] | ||
* Inawezekana kusaliwa sala moja ya maiti kwa ajili ya maiti kadhaa.[25] | * Inawezekana kusaliwa sala moja ya maiti kwa ajili ya maiti kadhaa.[25] | ||
* Inachukiza ( | * Inachukiza ([[makuruhu]] au hauikupendekezwa) kuwasalia maiti misikitini. [26] Baadhi ya mafaqihi wameuvua [[Msikiti wa Makka]] kuhusiana na hukumu hii, [27] ila wanazuoni wengine hawajakubaliana na nadharia ya manazuoni hao katika suala hilo. [28] | ||
* Pia mtu anaweza kusala bila ya kuvua viatu, ingawaje inapendekezwa na ni bora zaidi kusali bila viatu. [29] | * Pia mtu anaweza kusala bila ya kuvua viatu, ingawaje ni [[mustahabu]](inapendekezwa) na ni bora zaidi kusali bila viatu. [29] | ||
== Sala za Maiti za Kihistoria == | == Sala za Maiti za Kihistoria == |